Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Huyo mwarabuKwa KATARAMA vingunguti wenyewe wanamuomba Sana naskia jamaa yupo kwenye malori na nimeona scania na Mercedes Benz zikiwa na chata la KATARAMA hvyo huyu jamaa sio wa mchezo nafkiri Biashara ya bus huyu ataiweza Ila kwa upepo huu ukiendelea kuvuma mpaka shule zikifungwa nakwambia kabla ya December mwarabu na wadau kadhaa watakuwa washaingia vingunguti sio chini ya Mara 5
Kuna Lori la kuitwa mshikamano
Limemkalia kooni route ya Bariadi
Hapumui
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app