Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Chungwa dawa yenu ni katarama tu kila siku mnachapwa chuma mbili kwa 8 [emoji23] sasa subirini aongeze 3 ziwe nne mtatubu.
 
[emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]juzi limekufa gairo ,nimefika Magufuli saa kumi na mbili nikapanda Shukrani gari Lina kunguni balaa[emoji3][emoji3][emoji1][emoji1]tumeondoka saa mbili kasoro Dar,Mshikamano wameondoka tatu usiku ila walituacha afu tukawakuta gairo wamekufa
Vimeo hvyoo vya kukesha njiani
Ile Shukrani inaenda kama tuko kwenye matembezi ya hisani vile
Lile gari sipandi kabisa mm tulisafiri toka dom had dsm siku nzima tangu saa 12 asubuhi yan kufika ihumwa tu limeharibika sina hamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vingunguti hapaendeki kirahisi bro, 95 iliyotimia na viungo vyote, retarder ,2 pedal auto opticruise gearbox , si chini ya 800 millions
Yani zile gari mbili za Katarama unaweza kuta ndo gharama ya gari hizo 8 za allys.
Heshimu sana mtu anayenunua marcopollo 95 , ana hela!!!
mpe hsehima superfeo juzi kaongeza 6 mpya , mpe heshina katarama yeye ana 2 , sauli ana moja
Heshima zaidi apewe mwamba anaitwa Nacharo, yeye marcopolo 95 imetimia viungo vyote kaamua kuipeleka Dar Tanga , nauli 16000, Mwamba haionei huruma hela yake itarudi lini na wala hana habari!
Sasa ndo waweke viti vya tata kwenye katarama??
 
BAX kizazi jeuri
FB_IMG_1671088813352.jpg
 
Ukizoea vya kunyonga kuchinja unaona ngumu Ila muda n mwalimu mzuri mwarabu lazime atafute mbili za kuzugia wafanyabiashara wa mwanza tena mie nataka aende malysia au Singapore achukue chuma kule aje asanue matajiri kuwa Kuna bus used pia alafu n tamu kuliko za vingunguti
Basi ya used malaysia ije ifukuzane na scania g7? Si rahisi sumry alinunua mpya malasysia na hapa hazikufua dafu.
Ile basi sya vingunguti sio ya kuichukulia poa , ndo maana ni ghali kwanza ni mpya, halafu imetimia na ina specs za lorry wakati inabeba watu 50 tu,
The only way allys anaweza kupambana na katarama ni kwenda vingunguti,
 
Kuna Ile AVA .. scania kizazi jeuri! Mwanza - Arusha.
Kiazi kitamu roli lile weka mbali na watoto.
Akifyatua gia 12 porini huko mtamsoma hiyo speed kusimama mpk atoe zote sijui sa ngapi.sijui kafia wapi
 
Bas gani la Arusha to mwanza jaman
Nna Safar ya huko hii week

NB lisiwe mkweche
 
Back
Top Bottom