Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

View attachment 2538176
Nilianza na Wine naona Haina maajabu
Huyo tukimpa hizi anazikwa [emoji1787][emoji1787]
😍😍😍😍😍Ila Moyo wako hauna Asante jamani😂,yaani umemaliza wine bado umegoma?haya hakikisha JD inapoisha Moyo unaserebuka.. Mwachiluwi atatuletea msiba tu 😂
 
Mi nilijua nikinywaji tu Kama Novida
Sijafatilia
Niliachana na pombe naona shetani amenirudisha kwa nguvu

Ila yafaa nini kuishi bila kunywa [emoji1787][emoji1787]
Na ule ulevi wako wa kupenda kutengeneza V na hzi pombe mbona hatari Sana mdada
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ila Moyo wako hauna Asante jamani[emoji23],yaani umemaliza wine bado umegoma?haya hakikisha JD inapoisha Moyo unaserebuka.. Mwachiluwi atatuletea msiba tu [emoji23]

Siwezi kuimaliza [emoji1787]
Hapa sioni vizuri natype kwa machale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…