Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Daaaaah!kitu kinavutia hiyo unakunywa Hadi Moyo wenyewe unasema "ASANTEEEE""Tatizo huyo Mwachiluwi akinywa hii atazimia...View attachment 2538170
Mwambie aje tupige vitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah!kitu kinavutia hiyo unakunywa Hadi Moyo wenyewe unasema "ASANTEEEE""Tatizo huyo Mwachiluwi akinywa hii atazimia...View attachment 2538170
Mwambie aje tupige vitu
Daaaaah!kitu kinavutia hiyo unakunywa Hadi Moyo wenyewe unasema "ASANTEEEE""Tatizo huyo Mwachiluwi akinywa hii atazimia...
😍😍😍😍😍Ila Moyo wako hauna Asante jamani😂,yaani umemaliza wine bado umegoma?haya hakikisha JD inapoisha Moyo unaserebuka.. Mwachiluwi atatuletea msiba tu 😂View attachment 2538176
Nilianza na Wine naona Haina maajabu
Huyo tukimpa hizi anazikwa [emoji1787][emoji1787]
Sio feki hiyo?800?Only 800/= T sh, Border hapa Tunduma...View attachment 2538177
Only 800/= T sh, Border hapa Tunduma...View attachment 2538177
Hiyo ni V-Vant sio K - Vant ,almost vinywaji za hapo border bei chee kwa Shilings vs Kwacha.... msala kuvuka nayo...Sio feki hiyo?800?
BallantinesMahoka baba -TIDView attachment 2538190
Na ule ulevi wako wa kupenda kutengeneza V na hzi pombe mbona hatari Sana mdadaMi nilijua nikinywaji tu Kama Novida
Sijafatilia
Niliachana na pombe naona shetani amenirudisha kwa nguvu
Ila yafaa nini kuishi bila kunywa [emoji1787][emoji1787]
Soma Manufactured basii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni zile Za kienyeji wametafutia chupa?
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ila Moyo wako hauna Asante jamani[emoji23],yaani umemaliza wine bado umegoma?haya hakikisha JD inapoisha Moyo unaserebuka.. Mwachiluwi atatuletea msiba tu [emoji23]
Hii kitu hatari sana 🔥
Daaah Umetisha Sana!!iweke kwa matumizi ya baadaeSiwezi kuimaliza [emoji1787]
Hapa sioni vizuri natype kwa machale
NIpe blak ice hapo mbili 😃
Soma Manufactured basii...
Kwani Mwachiluwi anakunywa hata hizo bia Basi?anakunywa flying fish[emoji848]
Sio kwa ajili yake unakunywa ulewe!!acha uoga uoga
Dogo uwe umejipanga hao unaotaka kuwatoa out unawajua vizuri vichwa vyao!?
Nikahisi ni mimi tu ndo sijaielewaNilikionja walivyo kiintroduce tu kilinichefua!