Happy birthday mrembo [emoji7]Yeey[emoji126][emoji126]
I'm waiting...
But make sure kinalewesha vizuri[emoji23]
Thank you dearπ₯°
Hope baby wangu kakutumia zawadi ehThank you dear[emoji3059]
Baby wako yupi?
Hajatuma hata konyagi ndogo
Usikute nina babe mwingine zaidi yako na sijui[emoji849]Baby wako yupi?
Mwambie akutumie ahadi ni deniHajatuma hata konyagi ndogo
Vipi kuhusu korosho?Ukinywa huku unakula karanga hulewi haraka!..jaribu utaona
Ni sawa pia!Vipi kuhusu korosho?
Vipi kuhusu korosho?
Hapo sawa,Ata ukiwa unakunywa uku unakula bis
Unatumia spirit tu. Vipi kuhusu lager?Ni sawa pia!
Natumia ila sio sana!Unatumia spirit tu. Vipi kuhusu lager?
Kinywaji pendwa changu hiki.Napenda zaidi desperado na amarula au zanzi vingine vimenishinda
BOURBONKaribu tupige vituView attachment 2536878
Naikubari sana hii kituEasy sunday...[emoji1635][emoji1634]
View attachment 2558222
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaaa!
Pombe ni sumu.
Pombe inadhalilisha.
Pombe inafilishi.
Kataa pombe kwa afya ya figo zako.
Duuuuuh