Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana hujaniangalia vizuri nna sura ya kihindi
Hata kama ubadilishe avatar nishaisave long tym

Sema sijawahi ona mwanamke mwenye sura kama yako aseeee mmmh mzuri kaa jini 😁😁😁😁

Mchina si mchina muhindi si mhindi
 
Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
πŸ˜‚
Wewe umeambiwa ukienda na maini au figo nzuri kwa mungu utapewa tuzo. Nakati ukifa tu funza wanakula, halibu kila kitu ili funza wasile kitu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…