bei gani hii mkuuHii kitu ni balaaa wanao ijua hii watawaambieni ina harufu nzuri sana pi ina dumu sio kama zingine za hovyo hovyo [emoji23][emoji119]View attachment 1827706
hii ni kati ta 9k au 10bei gani hii mkuu
Zipo kibao kkoo labda hujui machimbo ya perfumeKuna spray moja yakuitwa LO'REAL MEN EXPERT hiyo ndio yenyewe sasa hakuna kama hiyo halafu hapa bongo maduka ma chache sana wanaiuza juzi nime zinguka karibia maduka yote k/koo nilikuja kubahatisha moja tu. [emoji855]
Global man ni fire🔥Nilianza na body spry inaitwa Bellagio lakin nikaachana nayo bada ya kupata manzi mmoja aliyekuwa anatumia perfume moja inaitwa Alfares nikaipenda sana na mi nikaanza kuitumia hii nayo ni nzuri sana inakaa muda mrefu, nilipoachana na yule demu baada ya kuniletea mazongezonge sasa hivi natumia body spry inaitwa Global Man iko poa sana kwa upande wangu......
Hata na nyinginezo nimepitapita nazo kama hiyo Dolby, nikatumia inaitwa black silver, nikatumia inaitwa na nyinginezo nyiiingi nimezisahau lakini zilizo bora kwangu ni hizo tatu za juu
Ukiipata OG yake nitag mkuu, copy yake iko njema sanaWakuu,nilishwahi kutumia copy ya AXE BLACK,(perfume ) aisee ina harufu nzuri hatari . Nilivutiwa nayo mno. Nimejaribu kuitafuta OG yake au hata first copy lakin sijawahi kuipata. Ni wapi inauzwa hii kwa anaefahamu
Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
HayaUkiipata OG yake nitag mkuu, copy yake iko njema sana
harufu haikai kwenye nguoView attachment 1717781quality and cheap
Kitu cha kupoa hiki, raha yake usipulize mingi puliza kwenye kola spray2 na kifuan spray2 afu majib utayapata
Agiza tu ,au ingia store za online Hata Nairobi ukoNatafuta bado perfume inaitwa Pure White nilifika hadi Dsm asilimia kubwa maduka niliyo tembelea nimeikosa !
hivi hii mousouf bei gani
ulinunua wapi? Axe Pollo mbona haikai sanaWakuu,nilishwahi kutumia copy ya AXE BLACK,(perfume ) aisee ina harufu nzuri hatari . Nilivutiwa nayo mno. Nimejaribu kuitafuta OG yake au hata first copy lakin sijawahi kuipata. Ni wapi inauzwa hii kwa anaefahamu
Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
25/28/30Khivi hii mousouf bei gani
Mimi nilinunua 15k tuhivi hii mousouf bei gani
Kuna hii barakkat, og yake inaitwa baccarat, chupa na design kila kitu ni sawa. Hii barakkat ata mimi nauza 30000, but baccarat hadi laki mbili na hizo ni kwa order tuSijajua jina lake ila chupa yake inafanana na hiiView attachment 1658314