Wale wasio na maokoto Mungu anawapa ndoa madada shtukeni;;;

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nilikuwa naangalia baadhi za ndoa hivi karibuni ukweli halisi
Sio wale ..madada wanaowataka
wenye maokoto

nisingependa muongezeke bila ndoa nkaona tushtuane kama ndugu

amkeni jamani msisubirie wenyee maokoto mtasubiria Sanaa muanze kumlalamikia Allah

ombeni Mungu awapemnaofanana naooo weekama hunamaokoto unataka wa maokotoo huoni unapingana na maandiko

yaani lazima mfanane nae so usisubiri maokoto jaman mda unaenda wanaume wanapungua

kilalakheri
 
natamani Mungu aanze kuokoa wa jf wanaosubiri maokotoooo
 
Nilikuwa naangalia baadhi za ndoa hivi karibuni ukweli halisi
Sio wale ..madada wanaowataka
wenye maokoto

nisingependa muongezeke bila ndoa nkaona tushtuane kama ndugu

amkeni jamani msisubirie wenyee maokoto mtasubiria Sanaa muanze kumlalamikia Allah

ombeni Mungu awapemnaofanana naooo weekama hunamaokoto unataka wa maokotoo huoni unapingana na maandiko

yaani lazima mfanane nae so usisubiri maokoto jaman mda unaenda wanaume wanapungua

kilalakheri
Sista yeyote atakayefata huu ushauri aje nimpe Tsh 2mllion....nipo paleeeee👉
 
Back
Top Bottom