Sista yeyote atakayefata huu ushauri aje nimpe Tsh 2mllion....nipo paleeeee👉Nilikuwa naangalia baadhi za ndoa hivi karibuni ukweli halisi
Sio wale ..madada wanaowataka
wenye maokoto
nisingependa muongezeke bila ndoa nkaona tushtuane kama ndugu
amkeni jamani msisubirie wenyee maokoto mtasubiria Sanaa muanze kumlalamikia Allah
ombeni Mungu awapemnaofanana naooo weekama hunamaokoto unataka wa maokotoo huoni unapingana na maandiko
yaani lazima mfanane nae so usisubiri maokoto jaman mda unaenda wanaume wanapungua
kilalakheri
Nakazia 🔨🔨😂Sista yeyote atakayefata huu ushauri aje nimpe Tsh 2mllion....nipo paleeeee👉