Samahani mkuuYaani uweke pembeni kitu ulichokipambania kwa zaidi ya miaka 16 ya maisha yako? Badala ya kushauri mtu awekeze katika kutafuta njia bora za kuunganisha taaluma na kipaji chake tangu akiwa shule, wewe unaona ni bora asahau kabisa kama alitumia miaka mingi kutafuta alichokipata.
Hakikq acha tuendelee kuwatafuna maana wajinga ni wengi.Tupo tunaendelea kutafuna wadogo zako kwa jina la kujitolea
Mimi nina degree na nina biashara inayonipa kipato cha kutosha. Unajua mshahara wa aliyeajiriwa TPDC?Wewe degree yako ni yakusifia sifia kama Mwijaku huna lolote, nje ya kuajiriwa wenye degree ni takataka tuu.
Hao darasa la saba unao wabagaza hapa ndio wenye biashara kubwa huko kariakoo na kwingineko na wame waajiri nyie na hizo degree zenu.
Pole mkuu tupambaneTuna madeni mpaka machoni kudadadadadekiii
Hii ni wewe unasema mkuuUlichoandika ni sawa na kusema,
A: "Hem angalia dirishani kama umeme umekatika kwetu tu au ni kote"
B: "umekatika kote"
A: Afadhali
Situation ikiwa hivi,
B: "itakuwa luku imeisha manake kwingine unawaka"
A: "daaah, una buku mbili hapo tununue?, manake mimi sina kitu"
B: "sasa tunalaaje leo na hili giza?"
Yaani kwa maelezo mengine ni kama unataka ujue vile watu wamepigika, ukisikia habari tofauti utakuwa mnyonge sana.
Si umepata kwa kulamba watu miguu. Degree holder umekaa kusifia sifa huna maana kabisa.Mimi nina degree na nina biashara inayonipa kipato cha kutosha. Unajua mshahara wa aliyeajiriwa TPDC?
VILAZA Wenye biashara kkoo ni mmoja kati ya laki moja. Wengi ambao hawajasoma wana maisha magumu sana.
Hiki hasa ndicho ulimaanisha kwa ulichoandika. Himiza vijana watumie taaluma zao kutafuta namna ya kuishi na kujipatia kipato mkuu.Hii ni wewe unasema mkuu
Wewe nakutunuku degree ya kufuatilia maisha ya watu. Always misery loves company. Unataka kila msomi awe na maisha magumu kama ya kwako. Acha upuuzi. Kama hujasoma rudi shule. Kamwe msomi hawezi kuwa sawa na ambaye hajasoma hata kama hana hela.Si umepata kwa kulamba watu miguu. Degree umekaa kusifia sifa hula maana kabisa.
Unawajibu wa kuwa shauri pia mimi nimeuliza kwa upana wake sijawa specific kama wewe.Hiki hasa ndicho ulimaanisha kwa ulichoandika. Himiza vijana watumie taaluma zao kutafuta namna ya kuishi na kujipatia kipato mkuu.
Elimu gani imefanya nini zaidi ya kutuibia rasilimali zetu tuu mkiajiriwa na ili mjifiche kwenye wizi huo mnajidai kusifia sifa.Wewe nakutunuku degree ya kufuatilia maisha ya watu. Always misery loves company. Unataka kila msomi awe na maisha magumu kama ya kwako. Acha upuuzi. Kama hujasoma rudi shule. Kamwe msomi hawezi kuwa sawa na ambaye hajasoma hata kama hana hela.
Ambao hamjasoma mnashida, acha wasomi waendelee kutafuna kodi zenu ndio mtaona umuhimu wa elimu.Elimu gani imefanya nini zaidi ya kutuibia rasilimali zetu tuu mkiajiriwa na ili mjifiche kwenye wizi huo mnajidai kusifia sifa.
Mwanaume gani unakaa kusifia sifia kama demu
Hilo ni tabaka la wachache wanao tafuna na wapo ambao pia hawaja soma.Ambao hamjasoma mnashida, acha wasomi waendelee kutafuna kodi zenu ndio mtaona umuhimu wa elimu.
Hilo gari halijatengenezwa na vilaza limetengenezwa na vipanga, na hata simu wanazotumia kudhihaki wasomi imetengenezwa na wasomi siyo vilaza.Huku mtaani wenye D mbili ndio wanakimbiza hatari.
Wanaishia kutengeneza tuu ila sio kumiliki. Na hao wasomi wanao tengeneza ni wa Tanzania au wa nchi gani.?Hilo gari halijatengenezwa na vilaza limetengenezwa na vipanga, na hata simu wanazotumia kudhihaki wasomi imetengenezwa na wasomi siyo vilaza.
Sawa mkuuPambana ukifika mtaani utakuja kukomenti vizuri.