Samahani mkuuYaani uweke pembeni kitu ulichokipambania kwa zaidi ya miaka 16 ya maisha yako? Badala ya kushauri mtu awekeze katika kutafuta njia bora za kuunganisha taaluma na kipaji chake tangu akiwa shule, wewe unaona ni bora asahau kabisa kama alitumia miaka mingi kutafuta alichokipata.