Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mimi ushawahi kuniona?Tusiwangeona mkitembeza bakuli na kulilia mpate nyongeza ya mshahara bila kuambulia kitu. Mamilioni yatoke wapi..?
Fedha huwaga haijai hata siku moja. Ukipata laki utatamani ungepata milioni, ukipata milioni unatamani dah! ingekuwa bilioni, na matamanio yanaendelea hivohivo hadi siku unakufa unakuwa bado haujaridhika.Tusingeona na mkitembeza bakuli na kulilia mpate nyongeza ya mshahara bila kuambulia kitu. Mamilioni yatoke wapi..?
Ndio nakuona sana viwanjani na sare yenu ya CWT, mnatembeza mabakuli kulia lia nyongeza ya mshahara ila mkatoswa ila mnajidai mna hali na maisha mazuri. Wasomi mmekaa kinafiki nafiki sanaMimi ushawahi kuniona?
Below 30 ninapokea juu ya 3.5mil afu nitembeze bakuli?
Lakini kumbuka "kamba hukatikia pembamba" Sasa kile kipande cha kamba utakachobaki nacho mguuni au shingoni kutegemea ulifungwaje; unaenda nacho wapi??Sawa mkuu hongera endelea kutafuna nchi kulingana na urefu wa kamba yako.
Tunaendelea kutafuna kadri tuwezavyo na hakuna kitu mtafanya.Sawa mkuu hongera endelea kutafuna nchi kulingana na urefu wa kamba yako.
Sina hakika sana kama wewe ni miongoni mwao wale sasa hivi wapo kwenye kusherekea Iddi au kwenye viwanja leo siku ya mapumziko.Tunaendelea kutafuna kadri tuwezavyo na hakuna kitu mtafanya.
Jana tumepokea Gassoline kupitia MT POLAR ACE, na juzi MT RICH RAINBOW bandarini na tuna per diem za kutosha.
Na tunashirikiana na Surveyor kupiga Kodi zenu nahakuna kitu mtafanya.
Pia MOUNT MERU wanajenga matank ya mafuta katafuta kibarua maana ndio kazi mnazoweza, pia HASS anaongeza njia line pipe kutoka KIOJ 1, na Sahara pia anapanua depot yake katafuteni vibarau.
Pumbavuu...
Bora umempa neno la hekima hiloLakini kumbuka "kamba hukatikia pembamba" Sasa kile kipande cha kamba utakachobaki nacho mguuni au shingoni kutegemea ulifungwaje; unaenda nacho wapi??
Wewe mgangaa njaa ndio unajua ofisi nzima inaenda kusherekea Eid.Sina hakika sana kama wewe ni miongoni mwao wale sasa hivi wapo kwenye kusherekea Iddi au kwenye viwanja leo siku ya mapumziko.
Mimi naona wewe ni mganga njaa mwenzangu, mzee wa pangu pakavu.
Nini hasa mkuu, tushirikishe tafakuri yako.Inafikirisha Sana.
Wasio sheherekea Iddi wametulia na familia zao au wapo viwanja wana kula vinono leo siku ya mapumziko.Wewe mgangaa njaa ndio unajua ofisi nzima inaenda kusherekea Eid.
Hizo shahada sio kigezo cha mtu kupata hela bali ni akili na bidii zake mwenyeweWana jamvi kwema,
Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.
Vipi mategemeo uliyokuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imesaidia angalau kwenye kujikwamua nje ya ajira, yaani kujiajiri au kutumia ujuzi wako uliopata kutatua changamoto mbalimbali za maisha?
Asamaleko.
Wewe mgangaa njaa ndio unajua ofisi nzima inaenda kusherekea Eid.Wasio sheherekea Iddi wametulia na familia zao au wapo viwanja wana kula vinono leo siku ya mapumziko.
Huu ukweli ndio watu wahataki kuusikia mkuu ukisema wanakubandika bango la majina mabaya mabaya. Wacha waendelee kubeti tuu.Hizo shahada sio kigezo cha mtu kupata hela bali ni akili na bidii zake mwenyewe
Dah hii ni hatari mkuu ndio wanaendesha ndinga kubwa kubwa na kumiliki uchumi.
Na waganga wanasema hao Ndo wanaongoza kwenda kwao kusaka vumba.. grade 7 na la pili B. Uliza waganga watakupa Takwimu kati ya wenye shule na la pili B kundi gani wanaongoza kufata mafanikio huko…Dah hii ni hatari mkuu ndio wanaendesha ndinga kubwa kubwa na kumiliki uchumi.
Pambana na maisha yako usifuatile ya wenzako utakuja kupakatwa
Kabisa kipaji kinalipa na ukiwa na uthubutu mambo nakuwa safiKwenye hii dunia ukitaka kupata hela tumia kipaji ulichonacho sio mpaka elimu
Kabisa mkuu, kufikiria nje ya box, watu wakiambiwa hivyo wana kazana kusema eti tunadharua elimu na wasomi.Unjanja ni kujanjaruka mapema na kutoa akilini huo uchuro wa kuajiriwa after chuo