Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Tusingeona na mkitembeza bakuli na kulilia mpate nyongeza ya mshahara bila kuambulia kitu. Mamilioni yatoke wapi..?
Fedha huwaga haijai hata siku moja. Ukipata laki utatamani ungepata milioni, ukipata milioni unatamani dah! ingekuwa bilioni, na matamanio yanaendelea hivohivo hadi siku unakufa unakuwa bado haujaridhika.
 
Mimi ushawahi kuniona?

Below 30 ninapokea juu ya 3.5mil afu nitembeze bakuli?
Ndio nakuona sana viwanjani na sare yenu ya CWT, mnatembeza mabakuli kulia lia nyongeza ya mshahara ila mkatoswa ila mnajidai mna hali na maisha mazuri. Wasomi mmekaa kinafiki nafiki sana
 
Sawa mkuu hongera endelea kutafuna nchi kulingana na urefu wa kamba yako.
Tunaendelea kutafuna kadri tuwezavyo na hakuna kitu mtafanya.

Jana tumepokea Gassoline kupitia MT POLAR ACE, na juzi MT RICH RAINBOW bandarini na tuna per diem za kutosha.

Na tunashirikiana na Surveyor kupiga Kodi zenu nahakuna kitu mtafanya.

Pia MOUNT MERU wanajenga matank ya mafuta katafuteni vibarua maana ndio kazi mnazoweza, pia HASS anaongeza line ya pipe kutoka KIOJ 1, na Sahara pia anapanua depot yake katafuteni vibarau.

Pumbavuu...
 
Tunaendelea kutafuna kadri tuwezavyo na hakuna kitu mtafanya.

Jana tumepokea Gassoline kupitia MT POLAR ACE, na juzi MT RICH RAINBOW bandarini na tuna per diem za kutosha.

Na tunashirikiana na Surveyor kupiga Kodi zenu nahakuna kitu mtafanya.

Pia MOUNT MERU wanajenga matank ya mafuta katafuta kibarua maana ndio kazi mnazoweza, pia HASS anaongeza njia line pipe kutoka KIOJ 1, na Sahara pia anapanua depot yake katafuteni vibarau.

Pumbavuu...
Sina hakika sana kama wewe ni miongoni mwao wale sasa hivi wapo kwenye kusherekea Iddi au kwenye viwanja leo siku ya mapumziko.

Mimi naona wewe ni mganga njaa mwenzangu, mzee wa pangu pakavu.
 
Sina hakika sana kama wewe ni miongoni mwao wale sasa hivi wapo kwenye kusherekea Iddi au kwenye viwanja leo siku ya mapumziko.

Mimi naona wewe ni mganga njaa mwenzangu, mzee wa pangu pakavu.
Wewe mgangaa njaa ndio unajua ofisi nzima inaenda kusherekea Eid.

Ungejiridhisha Kwa kutafuta hizo meli kama zimeshusha mafuta au laa.

Pumbavuu... Walala hoi mnataka Kila mtu awe nanjaa kama mlizonazo nyie.
 
Wana jamvi kwema,

Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.

Vipi mategemeo uliyokuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imesaidia angalau kwenye kujikwamua nje ya ajira, yaani kujiajiri au kutumia ujuzi wako uliopata kutatua changamoto mbalimbali za maisha?

Asamaleko.
Hizo shahada sio kigezo cha mtu kupata hela bali ni akili na bidii zake mwenyewe
 
Wasio sheherekea Iddi wametulia na familia zao au wapo viwanja wana kula vinono leo siku ya mapumziko.
Wewe mgangaa njaa ndio unajua ofisi nzima inaenda kusherekea Eid.

Ungejiridhisha Kwa kutafuta hizo meli kama zimeshusha mafuta au laa.

Pumbavuu... Walala hoi mnataka Kila mtu awe nanjaa kama mlizonazo nyie.

Ndio maana tupo hapa Leo tunapoteza muda na wasio nakazi kama wewe, halafu wengine tumemaliza 2018 tu. Lakini tunapokea salary kuzidi aliyozeeka nayo Mzee wako.

Ndio maana mnatuonea wivu tuliosoma.

Kama unaishi maisha magumu wekeza Kwa wanao sasa.
 
Dah hii ni hatari mkuu ndio wanaendesha ndinga kubwa kubwa na kumiliki uchumi.

Dah hii ni hatari mkuu ndio wanaendesha ndinga kubwa kubwa na kumiliki uchumi.
Na waganga wanasema hao Ndo wanaongoza kwenda kwao kusaka vumba.. grade 7 na la pili B. Uliza waganga watakupa Takwimu kati ya wenye shule na la pili B kundi gani wanaongoza kufata mafanikio huko…
 
Back
Top Bottom