Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Shule za wenzetu wamebase sana kwenye kipaji sio kama huku unakuta shule haisapoti vipaji na bado inazalisha division 0 kama 100 hiviKabisa kipaji kinalipa na ukiwa na uthubutu mambo nakuwa safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule za wenzetu wamebase sana kwenye kipaji sio kama huku unakuta shule haisapoti vipaji na bado inazalisha division 0 kama 100 hiviKabisa kipaji kinalipa na ukiwa na uthubutu mambo nakuwa safi
Mambo ya kukariri tuu na wanazuia vipaji vya watoto wakati wenzetu wana encourage vipaji tangu mtoto akiwa mdogo.Shule za wenzetu wamebase sana kwenye kipaji sio kama huku unakuta shule haisapoti vipaji na bado inazalisha division 0 kama 100 hivi
Tatizo hili taifa Lina vijana wavivu na wabishi sana maana kujiajiri saiv ni kama kipaji tena sio juhudiKabisa mkuu, kufikiria nje ya box, watu wakiambiwa hivyo wana kazana kusema eti tunadharua elimu na wasomi.
Shida serikali yetu haijui kusimamia vitu vyake ukichunguza utakuta shule za gvt zinaongoza kufelisha hata hospitali zao zina upungufu wa dawa na service mbovuMambo ya kukariri tuu na wanazuia vipaji vya watoto wakati wenzetu wana encourage vipaji tangu mtoto akiwa mdogo.
Ndio inaonekana ni kitu cha baadhi ya watu, hawapendi kujituma watu wanataka mafanikio ya haraka haraka.Tatizo hili taifa Lina vijana wavivu na wabishi sana maana kujiajiri saiv ni kama kipaji tena sio juhudi
Ova
Ndio uhalisia wenyewe, mambo ni kanyaga twende tuu.Shida serikali yetu haijui kusimamia vitu vyake ukichunguza utakuta shule za gvt zinaongoza kufelisha hata hospitali zao zina upungufu wa dawa na service mbovu
Mi ni mdau Engineer's registration board (ERB) hatujawahi kulia lia nyongeza ya mshaharaNdio nakuona sana viwanjani na sare yenu ya CWT, mnatembeza mabakuli kulia lia nyongeza ya mshahara ila mkatoswa ila mnajidai mna hali na maisha mazuri. Wasomi mmekaa kinafiki nafiki sana
Huko Uswahilini naogopa sana huwa hamwangalii yale masuala ya Uendelevu na muda wakudumu (sustainability) wa hayo mafanikio mnayoyaona yanapatikana kwa sasa lakini hamjihusishi na hoja za Je; yatadumu kwa muda gani?Naona upo kwenyr motion "Education is better than money" haya mkimaliza mtatwambia nani wameshinda ili nasisi huku uswahilini tuwaambie ukweli!!!
Wote ni sawa mnatembeza bakuli, kwani nyie hamuendagi kwenye viwanja vile na mabangoMi ni mdau Engineer's registration board (ERB) hatujawahi kulia lia nyongeza ya mshahara
Kama barabara zetu zinajengwa na wachina hizo hela mnatoa wapiMi ni mdau Engineer's registration board (ERB) hatujawahi kulia lia nyongeza ya mshahara
Taasisi niliyopo hatuendagiWote ni sawa mnatembeza bakuli, kwani nyie hamuendagi kwenye viwanja vile na mabango
Kwenu nyie wananchi wetuKama barabara zetu zinajengwa na wachina hizo hela mnatoa wapi
Labda wewe ni mjasiriamaliTaasisi
Hapana mi ni mtumishi wa nchi yanguLabda wewe ni mjasiriamali
Ni jambo la kujiuliza sana Wachina wame tapakaa kila mahali pesa zinaenda kwao. Sasa huyo na BSc yake ya Engineering bado haaminiki.Kama barabara zetu zinajengwa na wachina hizo hela mnatoa wapi
Alafu engineering sio barabara tu wanazojenga Wachina mfano mimi ni Telecom.Ni jambo la kujiuliza sana Wachina wame tapakaa kila mahali pesa zinaenda kwao. Sasa huyo na BSc yake ya Engineering bado haaminiki.
Wanatupa elimu mbovu ya Bure isiyo na maanaWana jamvi kwema,
Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.
Vipi mategemeo uliyokuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imesaidia angalau kwenye kujikwamua nje ya ajira, yaani kujiajiri au kutumia ujuzi wako uliopata kutatua changamoto mbalimbali za maisha?
Asamaleko.
Kwenye profile pic naona unatumikia nchi yako kwa kusukuma mkokoteniHapana mi ni mtumishi wa nchi yangu
Labda elimu yako wewe mkuu lakini mimi elimu yangu ina maana sana juzi kati mlikata fiber za baharini tukaungaWanatupa elimu mbovu ya Bure isiyo na maana
Degree is just a piece of paper
Kiasi kwamba ukitoka hapo ni mpaka ukapate tena elimu ya mtaa ndio angalau mambo yaende.Wanatupa elimu mbovu ya Bure isiyo na maana
Degree is just a piece of paper