Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Shule za wenzetu wamebase sana kwenye kipaji sio kama huku unakuta shule haisapoti vipaji na bado inazalisha division 0 kama 100 hivi
Mambo ya kukariri tuu na wanazuia vipaji vya watoto wakati wenzetu wana encourage vipaji tangu mtoto akiwa mdogo.
 
Shida serikali yetu haijui kusimamia vitu vyake ukichunguza utakuta shule za gvt zinaongoza kufelisha hata hospitali zao zina upungufu wa dawa na service mbovu
Ndio uhalisia wenyewe, mambo ni kanyaga twende tuu.
 
Naona upo kwenyr motion "Education is better than money" haya mkimaliza mtatwambia nani wameshinda ili nasisi huku uswahilini tuwaambie ukweli!!!
Huko Uswahilini naogopa sana huwa hamwangalii yale masuala ya Uendelevu na muda wakudumu (sustainability) wa hayo mafanikio mnayoyaona yanapatikana kwa sasa lakini hamjihusishi na hoja za Je; yatadumu kwa muda gani?
 
Wanatupa elimu mbovu ya Bure isiyo na maana

Degree is just a piece of paper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…