1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #161
kweli aiseeh, ili kuleta amani na upendoNikioa itabidi tufanye mkataba wa amani mkuu, mkataba wa kutoshambualiana, mkataba wa ujirani mwema😀😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli aiseeh, ili kuleta amani na upendoNikioa itabidi tufanye mkataba wa amani mkuu, mkataba wa kutoshambualiana, mkataba wa ujirani mwema😀😀😀😀😀
Swadakta kabisa mkuu, maneno yako sawiyaakweli aiseeh, ili kuleta amani na upendo
Hajar popote ulipo ukuje huku Kush kama katoa baraka flani hivi sijazielewaelewa, uje usaide kuchanganua na kufanya uchambuzi sanifu na upembuzi yakinifu😎😎😛😛😉😉ila Hajar mchukue tu maana yuko vizuri, ana hijabu lakini ana pweza, jiandae kufanya mazoez maan heviweight
mtafutataji sana Hajar,, mtoto wa pwani huyu,, anayaweza mahaba yoteHajar popote ulipo ukuje huku Kush kama katoa baraka flani hivi sijazielewaelewa, uje usaide kuchanganua na kufanya uchambuzi sanifu na upembuzi yakinifu😎😎😛😛😉😉
Alikua anaendelea na mazoezi yale uliyomuanzishia, si ulitaka apungue kidogo? Lakini wala usisumbuke jioni hua hakosi pale kwa mpemba muuza ngisihivi hujanionea yna4
okey mzee babaPamoja sana mwana salam zimefika
Mashaallah,yale ya kuweka hiliki kwenye maji ya kuoga pia ayaweza?😀😛mtafutataji sana Hajar,, mtoto wa pwani huyu,, anayaweza mahaba yote
hahaha hahaha ye alisema tuanze wote kwa pamoja, ila sasa mi nliamua kulianzishaAlikua anaendelea na mazoezi yale uliyomuanzishia, si ulitaka apungue kidogo? Lakini wala usisumbuke jioni hua hakosi pale kwa mpemba muuza ngisi
yaan hapo sasa ndo kwenyewe na kigoda kinawekwa bafuniMashaallah,yale ya kuweka hiliki kwenye maji ya kuoga pia ayaweza?😀😛
Na ile khabar naskia nini zile sijui,,aaagh jina limentoka kidogo😎 hua zinawekwa kwenye kisahani sijui ni habari ya kweli ntaikuta nayo!😛😛😛yaan hapo sasa ndo kwenyewe na kigoda kinawekwa bafuni
yaan hizo p*mbu zako zinawekwa katika kisahani/kisosi cha baridi alafu zinasuguliwa na huo mchanganyiko,, usipokuwa makini utajikuza kaupepo kanakutoka[emoji23],Na ile khabar naskia nini zile sijui,,aaagh jina limentoka kidogo😎 hua zinawekwa kwenye kisahani sijui ni habari ya kweli ntaikuta nayo!😛😛😛
Yaelekea anataka kuhakikisha humzidi nguvu, si unajua hata kina Beckham walikua na mazoezi yao tofauti nje ya mazoezi ya kocha ili aweze kukipiga dk120hahaha hahaha ye alisema tuanze wote kwa pamoja, ila sasa mi nliamua kulianzisha
[emoji23]Yaelekea anataka kuhakikisha humzidi nguvu, si unajua hata kina Beckham walikua na mazoezi yao tofauti nje ya mazoezi ya kocha ili aweze kukipiga dk120
Daah Mamamae! Nishaelewa sasa kwanini Tanga kuna kibao cha kukukaribisha tu na hakuna cha kukuaga, ebu Hajar na asogee huku kwa uthibitisho wa brekingi nyuzi hizi😛😛😛yaan hizo p*mbu zako zinawekwa katika kisahani/kisosi cha baridi alafu zinasuguliwa na huo mchanganyiko,, usipokuwa makini utajikuza kaupepo kanakutoka[emoji23],
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, yaaan we acha tu,, Tanga raha sanaa hasa haya mambo yetu heheheeh,,Daah Mamamae! Nishaelewa sasa kwanini Tanga kuna kibao cha kukukaribisha tu na hakuna cha kukuaga, ebu Hajar na asogee huku kwa uthibitisho wa brekingi nyuzi hizi😛😛😛