Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Wale ambao wasahaulifu tukutane hapa
Mimi kisa cha kwanza nilimsahau demu wangu Prisca upendo lodge pale Kimara
Kisa cha pili nilisahau Kadi ya bank na hela laki 2 ATM ya CRDB LUMUMBA
Kisa cha tatu nilisahau siku ya interview ya TPDC
Kisa cha nne nilisahau kwetu nikaenda kulala kwa jirani ilikuwa darasa la 3

Leta kisa chako
 
Back
Top Bottom