Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

Wale ambao wasahulifu tukutane hapa
Mm kisa cha kwanza nilimsahau demu wangu prisca upendo lodge pale kimara
Kisa cha pili nilisahau Kadi ya bank na hela laki 2 ATM ya CRDB LUMUMBA

Kisa cha tatu nilisahau siku ya interview ya TPDC
kisa cha nne nilisahau kwetu nikaenda kulala kwa jirani ilikua darasa la 3 hyo
Leta kisa chako
Aisee samahani, nimeshasahau nilitaka kuchangia nini hapa.
 
Wale ambao wasahulifu tukutane hapa
Mm kisa cha kwanza nilimsahau demu wangu prisca upendo lodge pale kimara
Kisa cha pili nilisahau Kadi ya bank na hela laki 2 ATM ya CRDB LUMUMBA

Kisa cha tatu nilisahau siku ya interview ya TPDC
kisa cha nne nilisahau kwetu nikaenda kulala kwa jirani ilikua darasa la 3 hyo
Leta kisa chako
Sasa baada ya kumsahau demu...nini kilijiri.
 
Nilisahau kuwa nimefunga Ramadan nikajikuta nabugia baga na juisi matunda nikaendelea kuupongeza mwili.[emoji23]
 
Nilisahau tundu halisi ni lipi maana yote yalikuwa yana radius sawa
 
Kila nikisema mwaka huu naondoka hapa kwa shangazi ili nikapange hua nasahau kuondoka
Bora ummseme mtu kwa kusema wewe poor ondoka hapo kwa shangazi..
Kuliko kuja huku na kujifanya wewe ndo hutaki kuondoka mkuu
😂😂😂😂😂😂
 
Mimi nimesoma mada hapo juu nilipotaka kuelezea tu, nikasahau mada hapo juu inaongelea nini vile?
 
Form six NECTA imekaribia halafu kila nikisomq usiku nikiqmka Asubuhi nakumbuka Asilimia 1 ya niliyosoma jana. Thank God nlifaulu, lakn had leo nasahau balaa .
 
Back
Top Bottom