Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtoa mada, mambo uliyowahi kuyasahau yanenishtua mpaka nimesahau mambo ambayo niliwahi kusahau zamani. Sina cha kuandika mkuu😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilisahau kula
Noma Sana 🤣🤣🤣🤣🤣Fomu wani nilisahau twiga anaitwaje kwa kizungu nikaandika hivyo hivyo kwenye ese.
🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃 PASAKA NJEMASitosahau siku niliyokufa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kila nikisema huu mwaka nitafute bibi nyeupe safi ya kuoa, najikuta nimesahau mpaka mwaka unaisha
hivi janja bado unakaa kwenu🤣🤣?nilisahau password ya crypto wallet yenye $5000
na zile secret phrase zakutumia kama backup nilisahau
halafu private keys nazo nilipoteza, device niliyotengenezea wallet sikuwa nayo tena
nililia sana
ndiohivi janja bado unakaa kwenu🤣🤣?
Noma Sana 🤣🤣🤣nilisahau password ya crypto wallet yenye $5000
na zile secret phrase zakutumia kama backup nilisahau
halafu private keys nazo nilipoteza, device niliyotengenezea wallet sikuwa nayo tena
nililia sana
Kasahau kwao 🤣🤣🤣🤣hivi janja bado unakaa kwenu🤣🤣?
iPhone au itelNilisahau kubeba panga halafu nilikuwa msituni mitaaa ya Cheka kigamboni nilikutana na wahuni wakasepa na laptop pamoja na simu yangu