Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

Aisee samahani, nimeshasahau nilitaka kuchangia nini hapa.
 
Sasa baada ya kumsahau demu...nini kilijiri.
 
Nilisahau kuwa nimefunga Ramadan nikajikuta nabugia baga na juisi matunda nikaendelea kuupongeza mwili.[emoji23]
 
Nilisahau tundu halisi ni lipi maana yote yalikuwa yana radius sawa
 
Kila nikisema mwaka huu naondoka hapa kwa shangazi ili nikapange hua nasahau kuondoka
Bora ummseme mtu kwa kusema wewe poor ondoka hapo kwa shangazi..
Kuliko kuja huku na kujifanya wewe ndo hutaki kuondoka mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nimesoma mada hapo juu nilipotaka kuelezea tu, nikasahau mada hapo juu inaongelea nini vile?
 
Form six NECTA imekaribia halafu kila nikisomq usiku nikiqmka Asubuhi nakumbuka Asilimia 1 ya niliyosoma jana. Thank God nlifaulu, lakn had leo nasahau balaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…