Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Sijioni mjanja wala nini na niliyenaye saa hizi ni mbali na mapenzi ni rafiki/mshikaji wangu ambaye naenda kwake na tunaongea na kufanya vitu vingine kwa sababu wote sio watokaji haswa tunaenjoy zaidi kukaa ndani.Mwisho wa siku unapewa unayefanana nae na mapenzi sio kunyanduana tu
utoto tu ulikua unakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi muacha mwanaume kwa sababu hiyo ya kung'ang'ania.Ile siku anasema leo nataka uje ukujue nyumbani kwangu nikakubali kwa moyo mmoja lakini kwa sababu ya story kama za watu wengine humu kwenye hii thread nikamwambia kabisa no sex na namaanisha hilo,naye akaapa viapo vyote kwamba ni kuchill na kuvibe tu hatutafanya chochote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ile nimefika na kukaa tu hata mwili haujapoa
Kulingana na story yako kuna uwezekano ulimfanyia makusudi kumnyima sex huyo mwanaume ili kumkomoa, na pia huyo mwanaume ulikuwa huna hisia nae kiviile, ulikuwa naye ili bhas tu muda uende kwa vile ulikosa type ya wanaume unaowataka, au ulikuwa naye umchune hela nadiegirlie
 
Nimecheka sana lakini hiyo kitu haina utoto wala ukubwa ni vile tu maisha sio black and white kama watu walivyozoea
Mkuu, nimesoma hadithi yako nikacheka tu. Ulivyoenda kwake ulikuwa na nia ya kulala huko au ilikuwa kushinda na kurudi kwako/kwenu jioni?
 
Kulala kabisa na nilienda jioni kutokea kwenye shughuli nyingine tu
 
Kulingana na story yako kuna uwezekano ulimfanyia makusudi kumnyima sex huyo mwanaume ili kumkomoa, na pia huyo mwanaume ulikuwa huna hisia nae kiviile, ulikuwa naye ili bhas tu muda uende kwa vile ulikosa type ya wanaume unaowataka, au ulikuwa naye umchune hela nadiegirlie
Wala sio unavyodhani.Ile ilikuwa ni first time kwenda kukujua kwake kwa hiyo mahusiano yalikuwa mapya mapya bado so nilikuwa kwenye harakati za kuendelea kumsoma tabia zake.
 
Kulala kabisa na nilienda jioni kutokea kwenye shughuli nyingine tu
Hivi unajisikiliza vizuri na kuelewa ulichoandika kweli?

Wewe ulivyoenda kulala kwake ulitegemea akuangalie tu usiku kucha hata asikuguse? Hawa vijana wanaoesema wanaweza kulala mzungu wa nne na mdada ni wachache sana, wengi huo uvumilivu hawana...

Kwanza unaendaje kulala kwa mwanaume usiku kucha kama huna nia ya kumpa utamu? Ili muongee[emoji23][emoji23][emoji23]...mnaongea nini usiku kucha!
 
Ndio maana nikasema maisha sio black na white kama unavyofikiri.Kwani haiwezekani kulala usiku kucha bila kugusana mkuu
 
Mkuu let's be honest bwana tuache hizi mambo za ajabu, kama hutaki kumpa mwanaume unaenda kulala kwake ili iweje, tena ni new boyfriend!

Natamani wadada wengine watoe experience zao hapa.

Naweza kuamini kuwa you never loved him in the first place. Unaenda kulala na mtu mpya kwako halafu unataka akuangalie...maaaaan!
 
Ni kwili Nimefanya research ya hili jambo kwa muda mrefu wanaoweza ni wachache kuliko wasioweza.

Wanaume huvumilive kwenye kupata Sambusa ya Bibi ni zero kabisa, Wengiwao hukosa usingizi kabisa na kushtuka wakiwaza kupewa ubichi wa Tunda Damu.

Nina watu wangu wa karibu 10, wawili tu ndio tumeweza ilo swala wengine ni walikuwa watupia funguo uvunguni na kuwalazimisha kusex, mwisho wa siku inabidi akupe kwasababu hana namna.
 
Kwa nini ulale na mtu kama huna nia ya kumlala? Tuanzie hapo kwanza...
 
Ndio maana nikasema maisha sio black na white kama unavyofikiri.Kwani haiwezekani kulala usiku kucha bila kugusana mkuu
Kulala bila Mtelezo inawezekana Tatizo sio kulala tatizo huyo unaelala nae ana hiyo carage.

Na kwa wanaume ki psychology kulala na mwanamke bila show ni jambo zuri linakujengea confidence ya kuzoea uwanja wa mazoezi sio mnakurupuana kama mmesikia mabom.

I prefer umsome mtu kwanza, but kwa dar es salaam wauzaji ni wengi, kwa mwanaume watakushangaa tena kwa wale okotaokota ukimuacha atakuona kama unamatatizo ya akili kwasababu wapo ki kazi, lakini ukapata mdada anajielewa decent ataona umemthamini.
 
Mkuu let's be honest bwana tuache hizi mambo za ajabu, kama hutaki kumpa mwanaume unaenda kulala kwake ili iweje, tena ni new boyfriend!

Natamani wadada wengine watoe experience zao hapa.

Naweza kuamini kuwa you never loved him in the first place. Unaenda kulala na mtu mpya kwako halafu unataka akuangalie...maaaaan!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani huyu wangu wa saa hizi aliwezaje jamani basi tu ni kujiendekeza.Sasa ina maana kila nikisema nakuja kwako unaexpect seggz
 
Kabisa Mimi huyu kwanza aliniahidi kabisa hanigusi aliapa na viapo vyote ila nimefika tu yumo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]halafu anakwambia kwa hiyo utanipa lini heeeeeeeee awe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani huyu wangu wa saa hizi aliwezaje jamani basi tu ni kujiendekeza.Sasa ina maana kila nikisema nakuja kwako unaexpect seggz
Mkuu, first time huwa ni ngumu mtu kuvumilia. Mkishazoeana hapo inawezekana sana tu.

Lakini kitendo cha wewe kwenda kwa jamaa kulala wakati huna nia ya kumpa mbususu huo ni ukatili wa hali ya juu. Kwa nini ulale na mwanaume tena new boyfriend kama huna nia ya kumpa, na hakuna emergency yoyote inayofanya mlale pamoja...aaaah mimi sitaki kukuelewa hata kidogo!!
 
Kulala bila Mtelezo inawezekana Tatizo sio kulala tatizo huyo unaelala nae ana hiyo carage.

Na kwa wanaume ki psychology kulala na mwanamke bila show ni jambo zuri linakujengea confidence ya kuzoea uwanja wa mazoezi sio mnakurupuana kama mmesikia mabom.

I prefer umsome mtu kwanza, but kwa dar es salaam wauzaji ni wengi, kwa mwanaume watakushangaa tena kwa wale okotaokota ukimuacha atakuona kama unamatatizo ya akili kwasababu wapo ki kazi, lakini ukapata mdada anajielewa decent ataona umemthamini.
Umsome mtu kwa kulala nae bila kuchapana..unamsoma nini hapo? Au unakuwa na kujiamini zero so unatafuta kujiamini.
 
Mkuu let's be honest bwana tuache hizi mambo za ajabu, kama hutaki kumpa mwanaume unaenda kulala kwake ili iweje, tena ni new boyfriend!

Natamani wadada wengine watoe experience zao hapa.

Naweza kuamini kuwa you never loved him in the first place. Unaenda kulala na mtu mpya kwako halafu unataka akuangalie...maaaaan!
Wadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, first time huwa ni ngumu mtu kuvumilia. Mkishazoeana hapo inawezekana sana tu.

Lakini kitendo cha wewe kwenda kwa jamaa kulala wakati huna nia ya kumpa mbususu huo ni ukatili wa hali ya juu. Kwa nini ulale na mwanaume tena new boyfriend kama huna nia ya kumpa, na hakuna emergency yoyote inayofanya mlale pamoja...aaaah mimi sitaki kukuelewa hata kidogo!!
Nilitaka nisimkatili bwana ndio maana nikamuuliza utaweza akajibu ataweza kwanini anigeuzie kibao
 
Back
Top Bottom