Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Mshkaji kwa maana ya mwanaume mwenzangu? How possible is that, why do you even have to ask such!
Basi hata wanaume tuna marafiki wakike ambao unaweza kulala nao, Na anaweza akakupa sex pia,

Nyie ndio mwanamke akiwa P hamtaki kabisa aje kulala kwako, kwasababu huwez kufanya chochote, Kukaa na mwanamke ni starehe pia sio lazima umtandike.
 
Wadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Everglow swali langu limebase kwenye sleepover, sio kwenda tu kwa mshkaji.

Unaweza kwenda mchana mkapiga story, mkapika, mkacheki movies na jioni akaondoka and the story ends there..hilo mbona kawaida sana...

Swali ni je, unaenda kwa mshakaji kulala huku ukitegemea yeye alale na wewe mzungu wa nne, do you think it's fair kweli?
 
Wadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante....yaani hawajui hii kitu ipo na ni very common
 
Ni kwili Nimefanya research ya hili jambo kwa muda mrefu wanaoweza ni wachache kuliko wasioweza.

Wanaume huvumilive kwenye kupata Sambusa ya Bibi ni zero kabisa, Wengiwao hukosa usingizi kabisa na kushtuka wakiwaza kupewa ubichi wa Tunda Damu.

Nina watu wangu wa karibu 10, wawili tu ndio tumeweza ilo swala wengine ni walikuwa watupia funguo uvunguni na kuwalazimisha kusex, mwisho wa siku inabidi akupe kwasababu hana namna.
Ongeza jina langu kweny hiyo list ya watu 10..
 
Wadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula bazoka😆
 
Everglow swali langu limebase kwenye sleepover, sio kwenda tu kwa mshkaji.

Unaweza kwenda mchana mkapiga story, mkapika, mkacheki movies and the story ends there..hilo mbona kawaida sana...

Swali ni je, unaenda kwa mshakaji kulala huku ukitegemea yeye alale na wewe mzungu wa nne, do you think it's fair kweli?
Okeee nmekupata.... kama ikitokea sihitaji kusex nae sitalala kwake.

[emoji23][emoji23] umeongea kwa hisia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hata wanaume tuna marafiki wakike ambao unaweza kulala nao, Na anaweza akakupa sex pia,

Nyie ndio mwanamke akiwa P hamtaki kabisa aje kulala kwako, kwasababu huwez kufanya chochote, Kukaa na mwanamke ni starehe pia sio lazima umtandike.
Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?
 
Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?
Si tunakumbatiana[emoji16][emoji16]
 
Ipo..na kuna nyakat kama sitataka kusex nae simpo tu sitalala kwake ingawa itategemea naish nae mazingira yap kama nalala kwake mara nyingi kuna baadh ya siku pia tulala tu hatuez sex kila leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kama ni wapenzi tayari na mshaduu mara kadhaa ni sawa mbona, Ila new gf mmmmmh hata wewe kipapa kitachuruzika tu...tuacheni hizi mambo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au unamgeuzia mgongo akukumbatie kwa nyuma huku akisikilizia chura lilivyotuna! Una utani weye!!
Exactly [emoji1][emoji1][emoji1]yakimshinda naenda kukaa nyuma ya mgongo wake
 
Mkuu, kama ni wapenzi tayari na mshaduu mara kadhaa ni sawa mbona, Ila new gf mmmmmh hata wewe kipapa kitachuruzika tu...tuacheni hizi mambo!
Nmesoma hapo sikuona hilo neno [emoji16] mpenz mpya ntaenda kulala kwake kama tu niko tayari kulala nae vingnevyo hapana sababu wanaume nyie akili zenu zinajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?
It's normal thing, Hapa ndipo tunashindwa kuelewana mimi na wewe, Yani ni Jambo la kawaida tambua hilo.

Pili unawezakuwa na hisia baada ya yeye kuwa karibu na wewe, ukataka akazingua(it's normal pia) Ishu inakuja hapa Unaweza kugomewa ukalazimisha sanaa, but sisi tunaweza kupotezea.

Kingine kuna muda huwa tunahisi kuwa na mtu wa karibu lakini sio mwanaune mwenzio, So unamchek Girlfriend Anakwambia nakuja lakini sitaki mambo, labd kesho naingia kanishani au labda hajisikiii, Fresh namwambia njoo.

Pia anaweza kuja wewe muda huo ukawa umechoka sana, ukapotezea ukaja kupiga asubuhi, TUNAONGELEA UWEZO WA KUWA NAE BILA KUMPIGA ambacho ni kitu cha kawaida sana.
 
Mkuu, kama ni wapenzi tayari na mshaduu mara kadhaa ni sawa mbona, Ila new gf mmmmmh hata wewe kipapa kitachuruzika tu...tuacheni hizi mambo!
Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom