Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Exactly, sasa umekuja kwangu (place) afu unalala papa ninaliangalia tuu [emoji848]
 
Nakuelewa sana sana Shem lake...
Ila wacha nikueleze hiki kitu kitakusaidia...

Unaelewa namna ukilala na Mwanamke usimfanye kitu.. narudia, usimfanye kitu kunavyokupa Ushindi wewe Mwanaume...Unaweza kupewa na usivyoomba[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, shem bwana... first time sleepover wewe jiandae tu, msituchanganye bwana eti tuvumilie wakati wenyewe mmeamua kuja kulala[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, first time huwa ni ngumu mtu kuvumilia. Mkishazoeana hapo inawezekana sana tu.

Lakini kitendo cha wewe kwenda kwa jamaa kulala wakati huna nia ya kumpa mbususu huo ni ukatili wa hali ya juu. Kwa nini ulale na mwanaume tena new boyfriend kama huna nia ya kumpa, na hakuna emergency yoyote inayofanya mlale pamoja...aaaah mimi sitaki kukuelewa hata kidogo!!
Kama kigezo cha ugentlemen ni hiki mimi nmekosa,yaani ulale nizime taa eti tuko karibu na ni kwa mara ya kwanza
 
Mimi niliwahi muacha mwanaume kwa sababu hiyo ya kung'ang'ania.Ile siku anasema leo nataka uje ukujue nyumbani kwangu nikakubali kwa moyo mmoja lakini kwa sababu ya story kama za watu wengine humu kwenye hii thread nikamwambia kabisa no sex na namaanisha hilo,naye akaapa viapo vyote kwamba ni kuchill na kuvibe tu hatutafanya chochote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ile nimefika na kukaa tu hata mwili haujapoa na safari yumo tayari mwilini ananitoa nguo zikaanza vurumai kimoyo moyo nasema sijui kwanini nilifall kwa huu uongo yaani mianaume yote ni sawa tu.Nilikuwa mbishi haswa akaniacha na nililala kwake usiku mzima anajaribu labda ntabadilisha mawazo hakuambulia kitu.Kesho yake niliamka mapema kurudi kwetu na alinisindikiza huku njiani ananiambia kwa hiyo nitampa lini sijui nitakuwa tayari lini ile kauli ikaniudhi zaidi tayari moyoni nikasema hapa hamna kitu siwezi tena,ila nikamjibu next weekend nikiwa najua akiondoka tu nablock huyu mtu.Nilijisikia vibaya kuachana nae kwa sababu mbali na hicho alikuwa ni a decent man lakini alikuwa ananifanya mimi nifeel obligated kumpa sex wakati sikuwa tayari ndio nikamuacha tu hivyo.Wanawake tunahitaji sababu ya kuhave sex na sio kwa sababu wewe unataka na mimi nitake.
Kwaiyo hata kama hutaki miaka 2 mwanaume atulie Tu kwasababu wewe hutaki?
 
Kwaiyo hata kama hutaki miaka 2 mwanaume atulie Tu kwasababu wewe hutaki?
Hayo ni matatizo mengine kama sitaki miaka miwili hio inakuwa ni ugonjwa mwingine.Hata hivyo kuna kipindi mtu atakuwa mjamzito siku za mwisho na baada ya kujifungua inakuwa hamuwezi kufanya kitu.Kwa hiyo hapo mtu asilale na mtu kitandani kisa atataka na wewe hutaki
 
Back
Top Bottom