Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo wanawake hamueleweki,
Wapo wanaosema No wakimaanisha Yes na wapo wanaosema No kweli,

Women are complicated creature
 
Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nadiegirlie,
Siku nyingine kama huna nia ya kumfurahisha mwenzako, tena mpenzi mpya ambaye hajawahi kukugusa.. tafadhali usifanye mambo za sleepover. Unaweza kwenda mkapika, mkala, mkatizama movies na wewe jioni rudi ukalale kwako.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani wewe Sleepover na new GF huwezi? Oooopssss!!!! Hujawahi?[emoji23](Soma taratibu)

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem bwana! Eti new gf alale nimkumbatie kwa nyuma hadi asubuhi, kuna utani mwingine sijui watu wamekunywa kisusio cha nini...eti kwa nyuma nimkumbatie...shem hivi umeelewa nachomaanisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nadiegirlie,
Siku nyingine kama huna nia ya kumfurahisha mwenzako, tena mpenzi mpya ambaye hajawahi kukugusa.. tafadhali usifanye mambo za sleepover. Unaweza kwenda mkapika, mkala, mkatizama movies na wewe jioni rudi ukalale kwako.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu wa saa hizi naomba tu awe wa mwisho mkuu sina energy ya mahusiano mapya kabisa yaani inatosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu wa saa hizi naomba tu awe wa mwisho mkuu sina energy ya mahusiano mapya kabisa yaani inatosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunakuombea mkuu! Kweli inachosha leo huyu kesho yule...hata maungo yanachoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem bwana! Eti new gf alale nimkumbatie kwa nyuma hadi asubuhi, kuna utani mwingine sijui watu wamekunywa kisusio cha nini...eti kwa nyuma nimkumbatie...shem hivi umeelewa nachomaanisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa sana sana Shem lake...
Ila wacha nikueleze hiki kitu kitakusaidia...

Unaelewa namna ukilala na Mwanamke usimfanye kitu.. narudia, usimfanye kitu kunavyokupa Ushindi wewe Mwanaume...Unaweza kupewa na usivyoomba[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.

1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.

2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.

3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.

...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.

Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]
Kwanza mazoea ya kuleta rafiki kwako unaanzia wapi, ngoja niwakumbushe marafiki zangu wa jinsia KE huku, nikikukaribisha na ukakubali kuja kwangu(nyumbani) ama hotel/lodge na kuna uwezekano wa kulala, jiandae kuliwa la sivyo tukutane kwenye vi mghawaha tupige story
 
Back
Top Bottom