Mimi niliwahi muacha mwanaume kwa sababu hiyo ya kung'ang'ania.Ile siku anasema leo nataka uje ukujue nyumbani kwangu nikakubali kwa moyo mmoja lakini kwa sababu ya story kama za watu wengine humu kwenye hii thread nikamwambia kabisa no sex na namaanisha hilo,naye akaapa viapo vyote kwamba ni kuchill na kuvibe tu hatutafanya chochote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ile nimefika na kukaa tu hata mwili haujapoa na safari yumo tayari mwilini ananitoa nguo zikaanza vurumai kimoyo moyo nasema sijui kwanini nilifall kwa huu uongo yaani mianaume yote ni sawa tu.Nilikuwa mbishi haswa akaniacha na nililala kwake usiku mzima anajaribu labda ntabadilisha mawazo hakuambulia kitu.Kesho yake niliamka mapema kurudi kwetu na alinisindikiza huku njiani ananiambia kwa hiyo nitampa lini sijui nitakuwa tayari lini ile kauli ikaniudhi zaidi tayari moyoni nikasema hapa hamna kitu siwezi tena,ila nikamjibu next weekend nikiwa najua akiondoka tu nablock huyu mtu.Nilijisikia vibaya kuachana nae kwa sababu mbali na hicho alikuwa ni a decent man lakini alikuwa ananifanya mimi nifeel obligated kumpa sex wakati sikuwa tayari ndio nikamuacha tu hivyo.Wanawake tunahitaji sababu ya kuhave sex na sio kwa sababu wewe unataka na mimi nitake.