Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Mimi natakiwe nipewe tuzo maana nililala na demu siku tano anakataa kunipa mzigo,

Hizo siku tano namaanisha nipo nae geto masaa 24 maana tulikuwa hatutoki, nikitoka Ni chap kwa haraka nanunua vyakula anapika tunakula tunapumzika kitandani Tena geto hamna hata TV,

Vingine vyote hakatai ila mzigo ndo hatoi bas bana siku ya tano nikamsindikiza akaenda kwao.

Alivofika ananambia Mimi ndo mzembe nilikuwa maana yeye kutoa mzigo hua ni purukushani Kama vita kitandani Kung Fu
Bas na Mimi hua sifosi mwanamke ambae hataki,

Bas bana akanambia next time nifosi na yeye akiwa analeta purukushani zake atakuwa anamaanisha anataka,

Bas bana siku ilivofika tena nikapanga sifosi mtu asiponipa mzigo poa tu, siku ilivofika ndo Kwanza hata sikutaka mzigo maana nilijua sitaweza vita akashangaa Mimi Wala Sina harakati za kutaka mzigo akanambia vipi? Nikamwambia Kama hutoi mzigo willingly na leo utaondoka Kama zile ziku tano.

Nikashangaa yeye ndo kashusha track yangu na boxer kwapamoja halafu kadaka naniliu Kama kipa haikutokea akanipa yote bila Kung Fu zakee.
 
Ukateleza kama Nyoka pangoni, Maji hufwata mkondo bwana weee asikwambie mtu
 
Kuja geto na kuondoka bila kuliwa walau inawezekana ila mpaka kulala naye chumbani bila kumla ni swala gumu sana na la kijasiri mno
Brother ni wewe tu na nafsi yako, Inawezekana ukiamua chukua atua sasa, Sex ni saikolojia tu na ndio mana unambiwa usipokuwa vizuri kisaikolojia tendo linaweza kukushinda. na wale wanaowahi kufika, huwa wanapewa ushauri wa kutokutilia manani au (concentration) husaidia kuchelewa kufika
 
Kweli wewe ni "nyundo ya moto". Salute
 
Hii imekaa vizuri!!
 
Hayo unayosema sijui kama ndivyo ilivyo ila mimi binafsi sio tuu mke bali mwanamke yeyote hawezi kunizingua kwa kitobo chake..

Sijui ni ugonjwa au ni vipi ila kukaa mwezi 1 plus bila ku sex ni kawaida na sitaki mtu anilazimishe.

Faida niliyoiona ni kutobabaishwa na mwanamke awe mke au mchepuko..

Hasara ni kwamba imenipunguzia kuona umuhimu wa mwanamke.
 
Hayo unayosema sijui kama ndivyo ilivyo ila mimi binafsi sio tuu mke bali mwanamke yeyote hawezi kunizingua kwa kitobo chake..

Sijui ni ugonjwa au ni vipi ila kukaa mwezi 1 plus bila ku sex ni kawaida na sitaki mtu anilazimishe.
Aaah wewe tulia si umejoin juzi tu hapa kabla ya kugeuza mwaka?

Subiri upita pite humu, utajua hujui.
 
Safi sana. Huu ndio Uanaume uliojaa uungawana na ustaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…