Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
Nashukuru umelijua hili...
Basi wafedheheshaji ndio wamejaa mjini siku hizi,,, na ni lazima waliwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
Huo ndio uanaumeImetokea mara nyingi kwa wanawake tofauti tofauti. Siyo big deal kwangu
Ukateleza kama Nyoka pangoni, Maji hufwata mkondo bwana weee asikwambie mtuMimi natakiwe nipewe tuzo maana nililala na demu siku tano anakataa kunipa mzigo,
Hizo siku tano namaanisha nipo nae geto masaa 24 maana tulikuwa hatutoki, nikitoka Ni chap kwa haraka nanunua vyakula anapika tunakula tunapumzika kitandani Tena geto hamna hata TV,
Vingine vyote hakatai ila mzigo ndo hatoi bas bana siku ya tano nikamsindikiza akaenda kwao.
Alivofika ananambia Mimi ndo mzembe nilikuwa maana yeye kutoa mzigo hua ni purukushani Kama vita kitandani Kung Fu
Bas na Mimi hua sifosi mwanamke ambae hataki,
Bas bana akanambia next time nifosi na yeye akiwa analeta purukushani zake atakuwa anamaanisha anataka,
Bas bana siku ilivofika tena nikapanga sifosi mtu asiponipa mzigo poa tu, siku ilivofika ndo Kwanza hata sikutaka mzigo maana nilijua sitaweza vita akashangaa Mimi Wala Sina harakati za kutaka mzigo akanambia vipi? Nikamwambia Kama hutoi mzigo willingly na leo utaondoka Kama zile ziku tano.
Nikashangaa yeye ndo kashusha track yangu na boxer kwapamoja halafu kadaka naniliu Kama kipa haikutokea akanipa yote bila Kung Fu zakee.
JamiiForums vichekesho ni vingi
Where have you been kwanzaKwamba wewe huwezi mkuu?
Unajua hata habari yenyewe sijaisoma lakini intuition imeniambia jamaa atakuwa mchekeshajiKwamba wewe huwezi mkuu?
Acheni dhana, Mnadhania tuu vitu, Vipo na Vinatokea kwenye dunia hii😊Unajua hata habari yenyewe sijaisoma lakini intuition imeniambia jamaa atakuwa mchekeshaji
Brother ni wewe tu na nafsi yako, Inawezekana ukiamua chukua atua sasa, Sex ni saikolojia tu na ndio mana unambiwa usipokuwa vizuri kisaikolojia tendo linaweza kukushinda. na wale wanaowahi kufika, huwa wanapewa ushauri wa kutokutilia manani au (concentration) husaidia kuchelewa kufikaKuja geto na kuondoka bila kuliwa walau inawezekana ila mpaka kulala naye chumbani bila kumla ni swala gumu sana na la kijasiri mno
Mkuu wewe na carbamazepine nawapongeza sana mme meintein urafiki wenuUnajua hata habari yenyewe sijaisoma lakini intuition imeniambia jamaa atakuwa mchekeshaji
Where have you been kwanza
Unajua hata habari yenyewe sijaisoma lakini intuition imeniambia jamaa atakuwa mchekeshaji
Fisi[emoji23][emoji23]Tabia za kinyama kabisa, hufanywa na wanaume wa kiafrika, Eti oyaa yule mazi alivyoingia nikatupa ufunguo uvunguni hapo anajiona mwamba dah[emoji28]
Kweli wewe ni "nyundo ya moto". SaluteKwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.
Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.
Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.
Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.
Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
Hii imekaa vizuri!!Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.
1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.
2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.
3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.
...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.
Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]
Hayo unayosema sijui kama ndivyo ilivyo ila mimi binafsi sio tuu mke bali mwanamke yeyote hawezi kunizingua kwa kitobo chake..Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.
Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.
Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.
Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.
Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.
Aaah wewe tulia si umejoin juzi tu hapa kabla ya kugeuza mwaka?Hayo unayosema sijui kama ndivyo ilivyo ila mimi binafsi sio tuu mke bali mwanamke yeyote hawezi kunizingua kwa kitobo chake..
Sijui ni ugonjwa au ni vipi ila kukaa mwezi 1 plus bila ku sex ni kawaida na sitaki mtu anilazimishe.
Safi sana. Huu ndio Uanaume uliojaa uungawana na ustaarabu.Kuna dada mmoja chotara wa kikaburu na kihehe, aliiuwa mshirika kibiashara, kwa kweli alikuwa na kila sifa.
Pamoja na kuumbika kwake haikunifanya nimtake kwani nilijua fika biashara na mapenzi haviendani.
Kuna wakati tulisafiri pamoja kwenda Nairobi.
Tulifikia hoteli niliyoizoea na ilikuwa usiku sana..
Bahati mbaya ilipatikana room 1 na kwa jinsi usiku ulivyoingia ilishindikana kupata room nyingine.
Nilimwambia wewe lala kitandani mimi nitakaa kwenye sofa ya mtu mmoja...kulala kwa kukaa.
Ilibidi tudizime taa...aliiuwa anashindwa kulala vizuri..ana amka amka kila mara...mwishowe akaniita G njoo ulale kitanda ni kipana.
Nilipanda na kulala mwanzoni mwa kitanda...to be honest nililala bila kugeuka lkn kila mara nilimsikia akigeuka geuka na kushtuka lkn sikutaka kujua kulikoni...kwanini?
Sikutaka aone nachukulia advantage ya mazingira kumtaka kusex naye....na nilijitahidi kuzi control hisia zangu na niliweza bila tatizo hatimaye palikucha salama na tukaendelea na mishe zetu na jioni tukarudi nchini.
Tukiwa njiani akaanza kufunguka alivyoteseka na hakuamini kuwa nitamwacha salama.
Nikamwambia...huwa sifanyi sex kama ajali, pili nikikuhitaji kabla ya kukutamkia lazima nijione ndani mwako ndipo sasa nitakua huru kukutaka.
Nikampa na faida za kufanya hivyo....H aliniheshimu sana sana kitendo cha kumwacha salama na urafiki wetu ulizidi maradufu...tulipoishia...tuyaaache[emoji28][emoji28][emoji28]
Nasikitika kuwa H alifariki baadae kwa kipigo cha majambazi.
Kuna dada mmoja chotara wa kikaburu na kihehe, aliiuwa mshirika kibiashara, kwa kweli alikuwa na kila sifa.