Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

😂Isipokuwa umuhimu wa mwanamke ukimpenda trust me, Ukiwa na stress au mawazo ukiwa nae utasikia afueni
 
Mkuu Wapakate story yako na yangu nahisi inataka kuendana kidogo, Mimi nimewahi kumpenda demu mmoja wa kichagga ilikuwa ni muda kidogo.

Kwanza huyu mrembo alikuwa anaishi kwa dada yake ghafla dada ake akapata safari akamuacha peke yake, sasa ilikuwa hivi mimi nikawa naingia ndani tunakaa wote siku nzima mpaka usiku tukiangalia muvi na kucheza magemu lakin linapokuja suala la kusex akawa ni mkali balaa kiasi cha kufikia kutaka tukosane, Nakumbuka tulikuwa tumeonana kwa kipind cha wiki mbili hivi ikatokea siku uvumilivu umenishinda yeye aliingia bafuni kuoga akaniacha sebuleni naangalia Tv ile ametoka tu kuoga nikamfata ili nione msimamo wake

Aliniletea kungfuu za kutosha kidogo tuvunje mlango[emoji16][emoji16], basi kimoyomoyo nikajisemea isiwe kesi nikarudi sebuleni nikamsubiri amalize kuvaa nguo alivyokuja sebuleni nikamuomba msamaha yakaisha

Sasa siku moja ilikuwa ni sikukuu nikamuomba tutoke wote ili tukarefresh kidogo na kubadilisha mazingira akakubali
Tukaenda kiwanja flani tukajiachia mimi nikawa napiga pombe lakin yeye akawa hanywi, tulivyomaliza akaniomba nimsindikize kwao kwa vile kuna chakula alikiandaa.

Tukaenda mm nikiwa nipo tungi kidogo mpk nyumban tukala ile nataka niende kulala home akaniambia usiondoke ulale hapa, nikakubali huku moyoni nikifurahi

Kilichofuata hapo ni kama Tanesco walijua mi ntauaaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent from my SM-N950U1 using JamiiForums mobile app
 
🤣
 
aah mzee siku tano.. unalala na kitobo ndani hukigusi [emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii iko poa sana, purukushani zanini?
Huo ujinga ufanywe na wavulana
 
Kisukari kitakua kinamsumbua
 


Hakika umenena vyema
 
Mimi kwanza nakuwaga tofauti kidogo, hata nikikutana na pisi kali namna gani sinaga utaratibu wa kuanza mazungumzo au kuomba namba ila natengeneza mazingira ya yeye kuona ni muhimu kuchukua namba yangu au kuwa na mazungumzo na mimi baada ya hapo.
 
Na huu ndio uanaume halisi sio unapelekwa tu na kichwa cha chini kindezi aisee.
 
Mimi kwanza nakuwaga tofauti kidogo, hata nikikutana na pisi kali namna gani sinaga utaratibu wa kuanza mazungumzo au kuomba namba ila natengeneza mazingira ya yeye kuona ni muhimu kuchukua namba yangu au kuwa na mazungumzo na mimi baada ya hapo.
Hivi ndivyo inatakiwa iwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…