Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Ni kwili Nimefanya research ya hili jambo kwa muda mrefu wanaoweza ni wachache kuliko wasioweza.

Wanaume huvumilive kwenye kupata Sambusa ya Bibi ni zero kabisa, Wengiwao hukosa usingizi kabisa na kushtuka wakiwaza kupewa ubichi wa Tunda Damu.

Nina watu wangu wa karibu 10, wawili tu ndio tumeweza ilo swala wengine ni walikuwa watupia funguo uvunguni na kuwalazimisha kusex, mwisho wa siku inabidi akupe kwasababu hana namna.
Mkuu hakuna sababu yoyote ya msingi ya kulala na mwanamke asiye ndugu Yako ,eti tu kuprove kuwa wewe ni gentleman,
Kwa niaba ya WALUME NDAGO wenzangu nasema huo ni upuuzi.
 
Mkuu hakuna sababu yoyote ya msingi ya kulala na mwanamke asiye ndugu Yako ,eti tu kuprove kuwa wewe ni gentleman,
Kwa niaba ya WALUME NDAGO wenzangu nasema huo ni upuuzi.
Kulala na mwanamke ambaye sio ndugu yako hatufanyi au sifanyi kuonyesha u gentlemen No. Najaribu kusema ni kitu cha kawaida kufanya, Sio big deal.
 
Umejaa utoto na ushamba.
Huwezi kujigeuza sperm donor ili ulale na kila mwanamke.
Watu wenye akili huwa selective kwa mwanamke amtakaye na sio kula kila anayejilengesha kwako...huu ni ujuha.

Na ikitokea ke akakwambia wazi wazi anakutaka si utafanya sherehe wakati wengine tumeyazoea?

Acha ulimbukeni na kama unahisi nimepungukiwa..niletee demu wako au dadako
Au yeye mwenyew umfukunyue uani ili akuheshimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
c8b8c51d96ac11c6d5c12ee4f7ddc0cc08f95bd04c6b2ede6d54ba5ca04f4dc7.0.png
 
Ndio na natakiwa niwe na uwezo wa kwenda kwake kupiga story bila kuanza kujitengeneza kwamba linaweza tokea jambo
Watu wanachukulia ni jambo Gumu, Mbona n kitu soft sana. Kwani mchana mwanamke si anaweza kusinzia au usingizi nao ni sex hahaha, Waelimishe vibo...o dinda hao.
 
Yes. It’s more than possible. It’s quite common, especially in long-term relationships where the two are living together or married.

Though often enough they may wake up with limbs entangled, or one person halfway on top of the other. And sometimes they have sex without even planning to. Spontaneity! But sure, sometimes they sleep the whole night through without having any sex at all, or any but the most incidental contact.

Happens too between people who have never had sex at all, but for some reason have decided to sleep in the same bed.​
 
Acha mnione Fala tu ila binafsi papuchi ikija kulala geto huwa siiachi labd awe period
 
mhh ashalika rafiki kwa mchezo huo huo et we rafki angu hatufanyi kitu ashalika demu aliachwa bichi na wenzake ashaliwa dem alifika town mwenyeji wake akawa hapatikan yaan mm kulala na dem alaf nisimle siwez kama ni ndugu bora nikakae sehem mpka asubuhi ila kama ni kulala lazma mti wa nyama umuhusu mtu
 
Hata binti kuja kwako na kuondoka bila kumgusa nayo ni hekima na uungwana tu.Mentality ya kuwa et akiingia tu hatoki si sawa na si ustaarabu.
Ilikuwa mwezi 7 huu mwishoni nimepata demu nikasema basi huyo ndo nahisi nimepata wife material kutokana na mazingira ya kumpata yalikuwa ya kanisani .
akaniomba kuja getto siku ya kwanza me sio mtu wa mataa tamaa tukacheki movie getto akaondoka ikapita one week, akaomba kuja mara ya pili getto kwakuwa alifurahia movie ambazo huwa naweka na getto lenyewe Tv ipo chumbani akaja akaangalia movie akaodoka
baada ya hapo kaleta visa vya kuachana nikabembeleza ikashindikana basi tukaachana kwa amani kilicho toke alinitumia sms zito ya kunitukana kuonyesha kitendo nilicho kifanya cha mtu kuja mpaka kitandani ,na kumuacha tu
Aisee tangu siku hiyo me sijali ni wife material au nini silazi damu akija getto ameisha
 
Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.

1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.

2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.

3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.

...Ninaposema kutongozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:

-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.

Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]
Point
 
Mr Nice Guy...take note that Nice Guys Finish Last...
 
Mashoga tu nyie... Hamna nguvu za kiume... Mwanamke atoke alipotoka akuambie anakuja kwako unaishi pekeako ujue anataka kutombwa, na ukiona amekataa ujue amekuta unanuka au kasoro ambayo imemtoa mood...
 
Back
Top Bottom