Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Nilikua nasubir kuona comment yako mam, hakika huwa hukoseagi wallah. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Weee....nihangaike kufanya usahihi yananihusu nn??? Yule house girl hakujua km yule baba Ni mme wng?? Silei maotea mimi
Bas unge muambia huyo mumeo aweke misingi sahihi juu ya tatzo hilo, mtakuja kufanyia wengine mtaona Dunia chungu ooooh. Ila poleeh kwa masaibu.
 
Sasa kuzaa na housegirl imekuwa nongwa? Wengine wanazaa na mama mkwe na maisha yanasonga kama kawaida
Tobaaaaaaah mam mkwe tena? Is it real? [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Usiongee hili sababu hujakutana na binti mkali wewe. Of the same type that you like bro!

Unless uwe unavutiwa na akina Nsyuka tu wenye makope ya ajabu ajabu mjini na makucha nchi 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee m2 jomoneeeeh khaaaaah.
 
Huu uzi ni hatareeeh mabomu na risasi zinarushwa hewani, ukisikia "paaaaaaah" limemfikia muhusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukifuatilia kwa karibu hii sampuli ya watu waliomo mitandaoni, unaweza ukabaini ni kwa namna gani jamii ina watu wajinga mno.

Wengine mpaka wanalawiti mabinti wa kazi na kuwaharibu kwa kiwango kisichoelezeka!

Hawa mabinti wa kazi wengi wao ni watoto wadogo ambao kimsingi kuwafanyia unyama huo wa kingono ni ubakaji ambao unastahili kuwajibishwa kisheria.

Grave sexual abuse and assaults! Lakini jamii inashangilia.

Sielewi hawa ni aina ya watu waliozaliwa katika mazingira gani ya majalalani!!

Kuna tatizo kubwa sana la jamii ambayo imejengwa katika mazingira ya ngono za hovyo hovyo!

Wengine mpaka wanajisifu kubaka watoto wao wa kuwazaa! Ati ndio urijali kwa mujibu wa viwango vya Tanganyika! DISGUSTING!

Ndio hawa waliokuzwa kwenye familia ambazo baba, mama na watoto wanalala kitanda kimoja!

Uswahili uswahili na uchafu!

Ignorance and lack of basic decency!
 
Mpenzi umekereka sana jamani.
 
Nimefurahi kusikia kuwa sio wanaume wote. Ni mimi tu nina bahati mbaya kupata wa ivo. Pia huwa naona kwa majirani zangu wao hili halitokei.

Kwenye hii dunia wanaume wote ni wabinafsi na wengi wana unyama ndani yao.. akitaka kufanya lke hataangalia ana watt atawaumiza kiasi gani au mke ilimradi yeye afurahi, huwa hawajali matokeo ya maamuzi yao kabisa..

Ila pamoja na makosa yao mengi hakuna mwanaume mbaya hii dunia kama anaeacha wanawake wote anaamua kutembea na ndugu zako, au rafiki zako au wasichana wako wa kazi... huyu mwanaume ni mbaya kuliko nyoka, sijui kwann unaendelea kukaa hapo labda sbabu unazijua mwenyewe lakini kama una shughul zako za kukuingizia kipato na unaweza kumudu maisha ningekushauri uondoke..

Anakuumiza kisaikolojia na mbaya zaidi anakufanya ukose kujiamini wakati kiukweli mwenye makosa ni yeye sio wewe, hata kama ungesafiri mwaka mzima hakutakiwa kufanya alichofanya wacha kusikiliza hawa watu wa JF wanaojaribu kukuaminisha ww ndo mkosaji.

Maisha yamebadilika dada... huwezi kuzaa kwa uchungu bado ule kwa jasho lako bado mtu akusumbue akili, wanawake hatupo huko tena badilika jipende mwenywe kabla mtu hajakupenda au kukuonesha anakujali. Ukijidharau utadhauliwa sana hapa duniani, amezaa na wasichana wa3 bado unataka nn tena??
 
Wacha weeeeeh

Boooonge la family.
...............

Hongera mwaya
 
We mwenzio familia yake ina furaha,yeye na mumewe wana furaha.
Mambo yao safi kabisa.
Hata hawagombani, huwa anamuuliza polepole faraghani huko.
Wanatimua dada,maisha yanaendelea.
Ndugu na marafiki wanawaomba ushauri.

She is okey.
 
na familia yangu ni ya amani na furaha kiasi kwamba majirani na watu kutoka sehemu zingine na ndugu zetu wengine wanakuja kuomba ushauri.
Acha unafiki labla kama hii mada sio we we muhusika ila kama umetendewa hayo niseme mumeo ni malaya mbwa na anakudharau mno etiii furaha ungeandika mada kuomba ushauri Hugo mwanaume aendelee kukunyoosha.
 
We mwenzio familia yake ina furaha,yeye na mumewe wana furaha.
Mambo yao safi kabisa.
Hata hawagombani, huwa anamuuliza polepole faraghani huko.
Wanatimua dada,maisha yanaendelea.
Ndugu na marafiki wanawaomba ushauri.

She is okey.
Mwongo chezea Usaliti
 
Acha unafiki labla kama hii mada sio we we muhusika ila kama umetendewa hayo niseme mumeo ni malaya mbwa na anakudharau mno etiii furaha ungeandika mada kuomba ushauri Hugo mwanaume aendelee kukunyoosha.
Heb mwache wife material wa watu.
We utakuwa feminist, hujaolewa, au ni single mother.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakyanani ndoa hizi.
 
Heb mwache wife material wa watu.
We utakuwa feminist, hujaolewa, au ni single mother.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakyanani ndoa hizi.
Na huyu atakuwa shugamamiii tu haiwezekani jamaaa anampiga matukio wafanyakazi watatu wote mimba bado anajisifu ujinga.
 
Kumbe ndio maana mke wangu hataki wasaidizi!!!!
Ila hata mm ningemkula tu maana mambo mengine mnasababisha wenyewe kila siku mtu kachoka
 
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Unajua kama huyo mwanaume unayeishi nae ni mbakaji? Sasa nikwambie sifa ya mtu mbakaji? Hua haachi, Atahamia kwa watoto wake wa kuzaa ambao ni wako pia,

Kishazoea kutembea na watoto wadogo (house girls),
Unajisifu una mwaka mzima hujaweka house girl ukifika mwaka wa pili ataanza na mtoto wenu wa kwanza (hua hawajali jinsi hao),

You look so pathetic and fool kwa kuendelea kumkumbatia huyo mbakaji na mnyanyasaji wa jinsia hapo bado sijaja kwako jinsi anavyokudharau hadi kufikia hatua ya kubaka wasaidizi wenu katika kitanda chenu, ndugu zako wamepona? Ndugu zake je?

Wakati unaona unawakomesha hao wahanga wa ubakwaji, don't forget about Karma, do you know what they say?

Karma is a Bitch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…