Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tufahamishane kidogo kuhusu fomu lini zinatoka na orientation week ni lini inaanza na nasikia kuna shida ya maji je ni kweli.....!!!!!???
-Yaani unajua ninyi watoto wa Mulugo ni mzigo? Umechaguliwa jana kwenda UDOM, leo unataka kujua kila kitu kuhusu UDOM, ili iweje? Ok, unataka kujua joining instructions zinatoka lini, nani ana hizo official information? Whay can't you leave the system work out outomatically, then you will be informed? Nachelea kuamini iwapo elimu ya sasa, ya chuo kikuu bado ina thamani. Kule A'level na kushuka chini, tayari ni hovyo, tushaharibu!tufahamishane kidogo kuhusu fomu lini zinatoka na orientation week ni lini inaanza na nasikia kuna shida ya maji je ni kweli.....!!!!!???
-Yaani unajua ninyi watoto wa Mulugo ni mzigo? Umechaguliwa jana kwenda UDOM, leo unataka kujua kila kitu kuhusu UDOM, ili iweje? Ok, unataka kujua joining instructions zinatoka lini, nani ana hizo official information? Whay can't you leave the system work out outomatically, then you will be informed? Nachelea kuamini iwapo elimu ya sasa, ya chuo kikuu bado ina thamani. Kule A'level na kushuka chini, tayari ni hovyo, tushaharibu!
poleni sana wakati MKWAWA yanatoka kila siku!
kuna siku maalum yanatoka au yanakatika tu siku yoyote!!!!????
kwl kuna shida ya maji
kwl kuna shida ya maji
maji sio shida hapo chuo,me nimemalza n am proud.nko oficn nw
We umepangwa chuo kwenda kusoma au kuuza maji mbona unaleta abari za bush apa fika chuo utaona mwenyewe chuo kubwa iyo haiwez kua ya kiboya acha chenga
ofisini au darasani mwl