wale wenzangu wa UDOM hebu tutete kidogo hapa!!!!!

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,357
Reaction score
3,835
tufahamishane kidogo kuhusu fomu lini zinatoka na orientation week ni lini inaanza na nasikia kuna shida ya maji je ni kweli.....!!!!!???
 
shida ya maji hakuna,ila hayawezi kuwepo siku zote.
 
naombeni muniangalizie JOSEPH phares kwenye hizo post za udom
 
tufahamishane kidogo kuhusu fomu lini zinatoka na orientation week ni lini inaanza na nasikia kuna shida ya maji je ni kweli.....!!!!!???
-Yaani unajua ninyi watoto wa Mulugo ni mzigo? Umechaguliwa jana kwenda UDOM, leo unataka kujua kila kitu kuhusu UDOM, ili iweje? Ok, unataka kujua joining instructions zinatoka lini, nani ana hizo official information? Whay can't you leave the system work out outomatically, then you will be informed? Nachelea kuamini iwapo elimu ya sasa, ya chuo kikuu bado ina thamani. Kule A'level na kushuka chini, tayari ni hovyo, tushaharibu!
 
Pointless!!!!!
 
We umepangwa chuo kwenda kusoma au kuuza maji mbona unaleta abari za bush apa fika chuo utaona mwenyewe chuo kubwa iyo haiwez kua ya kiboya acha chenga
 
kweli kabisa mkuu coz nilitaka kushangaa et chuo babu kubwa kikose MAJI?
 
Back
Top Bottom