Wale wote mliowahi kumegewa, poleni sana

Duh mbona hatari
Mambo ya kufumania ni ujinga wa kizamani zamani nikiwa kijiji bado dogo kuna jamaa alikuwa amepowa home sasa mtu akamtonya nimemwona mke wako na mtu mahali ulikuwa usiku wa saa mbili hivi..
Sasa jamaa akatoka na panga akakuta mke amebananishwa kwenye kagiza hivi akauliza mnafanya nini hapa jamaa akamsukuma mwanamke akavuma rungu likampiga mwenye mke kichwani akakauka pale pale ...
Mke akimbia ila walikamatwa baadae..
 
Aisee sema ukishajua mwenzi wako ni msaliti ni kumuacha tu.
 
Poleni sana kumegewa kunauma sana ukifikiria walivyokuwa wanamuinamisha mbuzi kagoma mkeo, lazima uwehuke.!!
Mimi sipo hivyo naishi na mke wangu tuna watoto wawili huku mimi nikiwa ni mtoto wangu wa tatu nilishaowa once. Mke akaondoka nikiwa nipo safarini Mwa za ambako nilikaa miezi 2 mke akaamua akaolewe na classmate wake akaenda na mtoto wangu wa kwanza akiwa na 2 years.
Tokea hapo sikuwahi kuhisi tena wivu au uchungu juu ya mwanamke pengine hata huyu anachepuka au amewahi sijui lakini kweli sioni kama natishika hata wakimla jicho la tatu...🙂
Nimekomaa vya kutoshaa
 
Hii mara nyingi huwa naisema kumegewa kunauma sana na inapelekea kuchukia na kuona wanawake wengine km nao wasaliti hata km hawako hivyo..!! Nna rafiki yangu naye anaona wanawake wote wasaliti sababu walishampigia mzazi mwenzie. Na hii inapelekea kuwa na visirani sana na kupenda kufoka foka hovyo.

Pole sana kaka, ila jitahidi kumuamini mkeo, wanawake wote hatufanani. Hata km ulimpenda huyo aliyekutenda sio sababu ya kumuhukumu huyu wa sasa. MPE UPENDO anaostahili..!! Achilia moyo hiko ndio kitu kinachokutesa, bado hujaruhusu moyo wako kuachilia maumivu.
Nitafute nikupe sala ambazo zitakuondoa ktk hiko kifungo.
 
Back
Top Bottom