Wale wote mliowahi kumegewa, poleni sana

Achilia mbali kumegewa mke,mi hata nikimegewa tu demu naweza jiskia vibaya Sana,Yaani nikijua kaliwa na mtu Basi ndo imetoka hiyo
 
Kwa hakika mtapata tabu sana hasa katika dunia ya sasa. Mwanamke loyal kabisa kabisa 100% mtampata wapi siku hizi? Na kabla ya kutafuta loyalty, nyie wenyewe mnaojiapiza hapa mko loyal 100% kwa wapenzi na wake zenu?

Kumegewa ni suala la muda tu...

 
Make sure jamaa anajua unamla mke wake ili naye imuume kisawa sawa Kama ilivyokuuma wewe wakati jamaa anamla demu wako.

Ikiwezekana record video ukiwa na mke wa Jamaa kitandani Kisha mtumie huyo jamaa hiyo video
 
Inasikitisha SanaπŸ˜₯
 
huyo fala
 
Hivi unajua bastola wewe
Bastola kitu gani ww sasa si bora akuue tu kuliwa aibu hiyo ambayo jamaa maisha yake yote anaishi kwa mateso na msongo mkubwa wa mawazo sasa si bora ufe kuna faida yoyote ya kuishi hapo? Yani mke aliwe na ww uliwe tena nyumbani kwako ***** uliona wapi
 
Hii Chai
 
Uko sahihi.
 
Wanawake wema wapo , sema wanaume wema wanaumizwa sana. Cha msingi kama ulivosema wanabidi waachilie maana hasira na uchungu wao utawatesa wenza wao.
Umeongea point sana, kura πŸ‘Š
Inabidi wajitoe kwenye hivyo vifungo, hii itawasaidia kiakili, kiroho na kimwili.
 
🎡 kumegewa ni jambo moja ,kukimbiwa ulishafikiria sio kila demu umuonae unaweza kuoa 🎡🎡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…