simba hawezi jibu upuuzi huo. watz mnapenda sana umbea. mbapenda mipasho sana. simba sasa ni level za al ahly, kaizer, mamelod.Kwanza inabidi simba wajibu na kukanusha otherwise MO ni tapeli anaitapeli simba kama alivyokuwa manji
Hapo ndipo tunapokosea unajua CAF na fifa zilianza kama umbea kumbe watu wanaojifanya wema ndio wapigaji guys uingileza kukosa nafasi ya kuaanda world cup aliupiga mdomo na mipasho fifa mwishowe kikichotikea nadhani unajua manara anaweza kuwa na makosa na mapungufu mengi ila anaweza kuw whistle-blower MO inabidi achunguzwe form is temporarily ila uchumi wa timu ni wa muda mrefusimba hawezi jibu upuuzi huo. watz mnapenda sana umbea. mbapenda mipasho sana. simba sasa ni level za al ahly, kaizer, mamelod.
Simba hawana Cha kujibu ,manara aache Kiki za kipuuzi ,Simba haina mda wa kujibu wapumbavuKwanza inabidi simba wajibu na kukanusha otherwise MO ni tapeli anaitapeli simba kama alivyokuwa manji
mbona mnakuwa wapumbavu hivi ,manara aligoma kusaini mkataba Sasa utamshikia bunduki asaini?Kama alikataa mkataba Sasa analia niniBwana GENTAMYCINE haji alikuwa na mkataba na simba...?
Simba hawana Cha kujibu ,manara aache Kiki za kipuuzi ,Simba haina mda wa kujibu wapumbavu
Guys manara anaweza kuwa na makosa na mapungufu lakini kuna vya kuchunguzwa maana menejementi ya simba imeonekana na udhaifu mkubwa sanaSimba hawana Cha kujibu ,manara aache Kiki za kipuuzi ,Simba haina mda wa kujibu wapumbavu
ila ni kweli manara atahamia timu nyingine maana alisema anaenda kwanza nje kupunzika akirudi ataeleza anaenda wapi au timu gani ,ila mi nahisi ataenda Azam ,Yanga pale sidhani kama atapata nafasiKwanza manara hajawahi kuwa mshabiki au mwanachama wa simba,huyo ni yanga pure kule alidata hela tu,na ndio maana yanga walikuja kwenye harusi yake na kumpa vitu vingi sana...
Yaani alichokifanya Haji ni sawa na kujitia dole la kati mwenyewe halafu akilinusa anauliza linatoa harufu gani. Kajiharibia big time1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?...
Wamekuwa kama machangudoa tu hawa watopoloYaani wanaomtetea Manara saivi ni Yanga duh!!![emoji23][emoji23]
Azam hawezi kwenda kwa sasa yupo dubai kwa hisani ya gharib,ni wazinanaenda yangaila ni kweli manara atahamia timu nyingine maana alisema anaenda kwanza nje kupunzika akirudi ataeleza anaenda wapi au timu gani ,ila mi nahisi ataenda Azam ,Yanga pale sidhani kama atapata nafasi
duh Halafu akienda Yanga nafasi za kina Nugaz na bumbuli itakwajeAzam hawezi kwenda kwa sasa yupo dubai kwa hisani ya gharib,ni wazinanaenda yanga
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
πππ Mkuu mpira sio kama siasa kwamba unaweza ukahama chama.Yaani wanaomtetea Manara saivi ni Yanga duh!!![emoji23][emoji23]
Kwa hiyo alipokuwa ni MSEMAJI WA SIMBA, alikuwa ni "MZUNGU" akawa salama! Sasa KAFURUSHWA huko, amerudia kwenye UHALISIA wake, hivyo anawindwa na wale waua MAZERUZERU eeeh?Bwana GENTAMYCINE haji kutishiwa maisha eti kwaajili ya kumzidi umaarufu mo ni cha kiungwana...?