white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kuwa na akili japo kidogo tu!!yaani baada ya kumtumikisha miaka sita bila mkataba, hata alipowaambia kuwa azam wanataka kumpa mkataba, akaja kuwaambia mkachukulia powa tu, hadi alipowaletea mkataba sasa OG, ndio mkaona mmpe mkataba wa milioni 4, mkataba wenyewe masharti kibao !!huku ameshabanwa kimkataba halafu mnono!!ukitaka kuuvunja huu milioni 300!!nambona mnakuwa wapumbavu hivi ,manara aligoma kusaini mkataba Sasa utamshikia bunduki asaini?Kama alikataa mkataba Sasa analia nini
Achana na dhana potofu hizo, jikite kwenye hoja, yaani mtu kudai kuwa ametumikishwa miaka sita bila mkataba , eti ni sawa?!!unajua ni stahiki ngapi amezikosa kwa kitendo hicho?!!na serikali imekosa kodi kiasi gani hapo?!kwani sheria za kazi ziko wazi,
Eti anaomba Serikali imlinde,hivi hajui kuwa Serikali ilishakomesha mauaji ya maalbino?
Ndio tulio baki na akili zetu kwani wakati manara anakosea tuliwaambia na nyie kwa ufinyu wenu wa akili hamkuona hili Leo sisi tunaangalia hoja pia kama hujui kimbembe cha muhindi kafanye kaziYaani wanaomtetea Manara saivi ni Yanga duh!!![emoji23][emoji23]
Yes imlinde huwezi kudukua Mawasiliano ya mtu kienyeji kisa una helaEti anaomba Serikali imlinde,hivi hajua Serikali ilishakomesha mauaji ya maalbino?
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka mzima alimpa Mkataba wa Milioni 4 kwa Mwezi ila akawa hataki nani ni Mzuri Kwake na nani alikuwa hamthamini?
3. Katika Sheria za Ajira na Miiko ya Kazi moja wapo ikiwa ni Kutokutoa Siri za Taasisi / Kampuni hivyo basi je, leo hii kwa Mambo ya Siri (ya ndani ya Menejimenti) ya Klabu aliyoyasema Haji Manara Simba SC ikiamua Kumshtaki Mahakamani atakuwa salama?
4. Je, kati ya Haji Manara ambaye amekiri kuwa amekaa Simba SC miaka Sita (6) bila kuwa na Mkataba huku akiridhika na Hali hiyo na Klabu ya Simba ambayo haikumpa huo Mkataba ni nani ni Mjinga (Ngumbaru) na Mpumbavu (Popoma ) hasa?
5. Haji Manara mara kwa mara amekuwa akisikika akiwadhihaki na akiwadharau Waandishi wa Habari akiwaita Takataka je, Haji Manara jana kaongea na Waandishi wa Habari Takataka au Waandishi wa Habari wa Kimataifa?
6. Je, ni kweli kuwa Haji Manara ndiyo Kainyanyua Simba SC Kiumaarufu tokea ianzishwe mwaka 1936 na kwamba Yeye ndiyo ana Thamani Kubwa kuliko Wazee wote wa Simba SC ambao tena wameifia Simba kwa kujitoa Mhanga ili aikute Simba SC hii aliyoikuta Yeye? Mfano Mzee Bamchawi na Wengineo.
7. Je, kwa tabia ya Umbea na Kuropoka aliyonayo Haji Manara mpaka ya Kutoa Siri za Taasisi na Kampuni unadhani kuna Vilabu vingine au Kampuni ( Corporates ) zingine leo hii zitathubutu kutaka Kufanya Kazi nae?
Ninayasubiri sana tu Majibu yenu hapa.
Jikite kwenye kujibu hoja za manara hizi ngonjera unazotuandikia apa hazina kichwa wala miguu, fafanua alichokisema manara hoja ujibiwa kwa hoja na sio vijembe na kejeli mkuu avikusaidii chochote maana wenye akili tunajua manara kaongea point tupu tunasubili mjibu hoja zake moja baada ya nyingine1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka mzima alimpa Mkataba wa Milioni 4 kwa Mwezi ila akawa hataki nani ni Mzuri Kwake na nani alikuwa hamthamini?
3. Katika Sheria za Ajira na Miiko ya Kazi moja wapo ikiwa ni Kutokutoa Siri za Taasisi / Kampuni hivyo basi je, leo hii kwa Mambo ya Siri (ya ndani ya Menejimenti) ya Klabu aliyoyasema Haji Manara Simba SC ikiamua Kumshtaki Mahakamani atakuwa salama?
4. Je, kati ya Haji Manara ambaye amekiri kuwa amekaa Simba SC miaka Sita (6) bila kuwa na Mkataba huku akiridhika na Hali hiyo na Klabu ya Simba ambayo haikumpa huo Mkataba ni nani ni Mjinga (Ngumbaru) na Mpumbavu (Popoma ) hasa?
5. Haji Manara mara kwa mara amekuwa akisikika akiwadhihaki na akiwadharau Waandishi wa Habari akiwaita Takataka je, Haji Manara jana kaongea na Waandishi wa Habari Takataka au Waandishi wa Habari wa Kimataifa?
6. Je, ni kweli kuwa Haji Manara ndiyo Kainyanyua Simba SC Kiumaarufu tokea ianzishwe mwaka 1936 na kwamba Yeye ndiyo ana Thamani Kubwa kuliko Wazee wote wa Simba SC ambao tena wameifia Simba kwa kujitoa Mhanga ili aikute Simba SC hii aliyoikuta Yeye? Mfano Mzee Bamchawi na Wengineo.
7. Je, kwa tabia ya Umbea na Kuropoka aliyonayo Haji Manara mpaka ya Kutoa Siri za Taasisi na Kampuni unadhani kuna Vilabu vingine au Kampuni ( Corporates ) zingine leo hii zitathubutu kutaka Kufanya Kazi nae?
Ninayasubiri sana tu Majibu yenu hapa.
Simba haina mda wa kumjibu mjingaKwanza inabidi simba wajibu na kukanusha otherwise MO ni tapeli anaitapeli simba kama alivyokuwa manji
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
Hili kosa alilifanya Hanspope baada ya kuitaja GSM ila kwa mahaba yako kwa MO unaona kosa la haji tuu
Hili ameri jibu vizuri haji kuwa yeye ni ambassador wa Azam, Asas na Kampuni nyingine mkataba wa barbra hautaki haji awe ambassador na kampuni nyingine ambayo inatoa huduma sawa na mzamini wa Simba ambaye ni Mo sasa cha kujiuliza yeye anaingia mkataba na club ya Simba ama kampuni ya Mo ndo mana akakacha nadhani hata wewe na akili zako ndogo hizi ungekacha upige mishe mjini hapa2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka mzima alimpa Mkataba wa Milioni 4 kwa Mwezi ila akawa hataki nani ni Mzuri Kwake na nani alikuwa hamthamini?
3. Katika Sheria za Ajira na Miiko ya Kazi moja wapo ikiwa ni Kutokutoa Siri za Taasisi / Kampuni hivyo basi je, leo hii kwa Mambo ya Siri (ya ndani ya Menejimenti) ya Klabu aliyoyasema Haji Manara Simba SC ikiamua Kumshtaki Mahakamani atakuwa salama?
Mahakama inaskiliza pande mbili siwezi kuingilia kabisaaa
4. Je, kati ya Haji Manara ambaye amekiri kuwa amekaa Simba SC miaka Sita (6) bila kuwa na Mkataba huku akiridhika na Hali hiyo na Klabu ya Simba ambayo haikumpa huo Mkataba ni nani ni Mjinga (Ngumbaru) na Mpumbavu (Popoma ) hasa?
Nadhan wewe na mimi ni mashahidi wa mapenzi ya haji kwa mpira wa Tanzania na club yenu ya Simba
Sasa hivi ndo mnaona kuna shida wakati tulikuwa tunaambia5. Haji Manara mara kwa mara amekuwa akisikika akiwadhihaki na akiwadharau Waandishi wa Habari akiwaita Takataka je, Haji Manara jana kaongea na Waandishi wa Habari Takataka au Waandishi wa Habari wa Kimataifa?
6. Je, ni kweli kuwa Haji Manara ndiyo Kainyanyua Simba SC Kiumaarufu tokea ianzishwe mwaka 1936 na kwamba Yeye ndiyo ana Thamani Kubwa kuliko Wazee wote wa Simba SC ambao tena wameifia Simba kwa kujitoa Mhanga ili aikute Simba SC hii aliyoikuta Yeye? Mfano Mzee Bamchawi na Wengineo.
Kwenye hili muda utaongea
7. Je, kwa tabia ya Umbea na Kuropoka aliyonayo Haji Manara mpaka ya Kutoa Siri za Taasisi na Kampuni unadhani kuna Vilabu vingine au Kampuni ( Corporates ) zingine leo hii zitathubutu kutaka Kufanya Kazi nae?
Nadhani zipo nyingi ikiwemo Azam ambaye ndio mpinzani wa mo kuanzia energy, maji na bidhaa nyingine ila najua kwa roho yako mbaya hutamani haji apate kazi ili roho yako mbaya itimie
Nadhan nime jibu ila unaonekana una roho mbaya na haji unapatamani haji alost uje umchekeNinayasubiri sana tu Majibu yenu hapa.
Forms is temporary kwenye mpira jibu jepesi nikuwa uwekezaji wa mo utainufaishaje simba hata siku akiondoka?Simba haina mda wa kumjibu mjinga
Mkuu GENTAMYCINE nikueleze kitu kimoja, Manara hakumis behave tu kwa waandishi wa habari bali hadi kwa viongozi wa Yanga. Alitaka kuupeleka utani huu wa enzi na enzi mpaka kutaka kuleta chuki. Mkuu GENTAMYCINE mbona hujaligusia, mkuu unamtoto nyumbani anakwenda kutukana majirani tena matusi ya waziwazi anakuja nyumbani unampigia makofi kuwa yupo sahihi na anafundisha adabu watu, kumbuka mtoto anakuwa na hiyo tabia, sasa je akija kukutukana kesho tena mbele ya hadhara lazima wale majirani watamuunga mkono maana kipind wao wanateseka wewe ulishangilia. Manara yupo sawa maana mlimwendekeza nyinyi Mashabiki wa Simba akajiona mkubwa. GENTAMYCINE usilete double standard kuwa alitukana waandishi, jumlisha na viongozi wa Yanga kwenye bandiko lako ili lilete msisimko, ili tukataze hizi tabia za wasemaji kuwa waropokaji maana leo kwangu kesho kwako.1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka mzima alimpa Mkataba wa Milioni 4 kwa Mwezi ila akawa hataki nani ni Mzuri Kwake na nani alikuwa hamthamini?
3. Katika Sheria za Ajira na Miiko ya Kazi moja wapo ikiwa ni Kutokutoa Siri za Taasisi / Kampuni hivyo basi je, leo hii kwa Mambo ya Siri (ya ndani ya Menejimenti) ya Klabu aliyoyasema Haji Manara Simba SC ikiamua Kumshtaki Mahakamani atakuwa salama?
4. Je, kati ya Haji Manara ambaye amekiri kuwa amekaa Simba SC miaka Sita (6) bila kuwa na Mkataba huku akiridhika na Hali hiyo na Klabu ya Simba ambayo haikumpa huo Mkataba ni nani ni Mjinga (Ngumbaru) na Mpumbavu (Popoma ) hasa?
5. Haji Manara mara kwa mara amekuwa akisikika akiwadhihaki na akiwadharau Waandishi wa Habari akiwaita Takataka je, Haji Manara jana kaongea na Waandishi wa Habari Takataka au Waandishi wa Habari wa Kimataifa?
6. Je, ni kweli kuwa Haji Manara ndiyo Kainyanyua Simba SC Kiumaarufu tokea ianzishwe mwaka 1936 na kwamba Yeye ndiyo ana Thamani Kubwa kuliko Wazee wote wa Simba SC ambao tena wameifia Simba kwa kujitoa Mhanga ili aikute Simba SC hii aliyoikuta Yeye? Mfano Mzee Bamchawi na Wengineo.
7. Je, kwa tabia ya Umbea na Kuropoka aliyonayo Haji Manara mpaka ya Kutoa Siri za Taasisi na Kampuni unadhani kuna Vilabu vingine au Kampuni ( Corporates ) zingine leo hii zitathubutu kutaka Kufanya Kazi nae?
Ninayasubiri sana tu Majibu yenu hapa.
Huyo alipaswa iwe yuko ndani chini ya Sheria ya makosa ya kimtandao.Bwana GENTAMYCINE kitendo cha Mo kudukua mawasiliano ya Manara ni cha kiungwana...?
Unawezaje kufanya kazi kwa miaka sita bila mkataba?Angeona anaonewa si angeondoka tu.Mbona miaka hiyo mitano alikuwa chini ya akina Magori,alishindwa nini kuwadai mikataba?Achana na dhana potofu hizo, jikite kwenye hoja, yaani mtu kudai kuwa ametumikishwa miaka sita bila mkataba , eti ni sawa?!!unajua ni stahiki ngapi amezikosa kwa kitendo hicho?!!na serikali imekosa kodi kiasi gani hapo?!kwani sheria za kazi ziko wazi,
Anayekukaza nae una Mkataba nae pia?Bwana GENTAMYCINE haji alikuwa na mkataba na simba...?
Na akukazae kukudukua ukikazwa ni Uungwana?Bwana GENTAMYCINE kitendo cha Mo kudukua mawasiliano ya Manara ni cha kiungwana...?
Leo inaonekana Kiwango chako cha Nyege za Kukazwa kipo juu mno.Bwana GENTAMYCINE haji kutishiwa maisha eti kwaajili ya kumzidi umaarufu mo ni cha kiungwana...?
Unavyokazwa hovyo hujishushii Heshima?Swali namba 4 linakushushia heshima yako mkuu, bora ulifute