min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
pilsner moshi huwa wanakunywa wamama wajane sijui kwa ninUlivyosema tu marafiki mnakunywa Pilsner nimeshajua unatoka mkoa gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pilsner moshi huwa wanakunywa wamama wajane sijui kwa ninUlivyosema tu marafiki mnakunywa Pilsner nimeshajua unatoka mkoa gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukizidisha mazoezi unazeeka haraka zaidiAcha pombe ,fanya mazoezi ,soon tu unaenda kuonekana mzeee na miaka yako 40
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Kwa Sababu zinalewesha haraka...pilsner moshi huwa wanakunywa wamama wajane sijui kwa nin
Duuh Huo mzigo ukimaliza si shetani anatoka na kukumaliza na wewe[emoji102]Lite ni bia za wanaume wa dar karibu hukuView attachment 2363627
Lite beer ndio unyama sahizi,Lites ni kwa ajili ya social drinkers.
Wanakunywa ili wasilewe haraka.
Na ndo bia zinazoingiza hela sana kwa makampuni hasa Serengeti lite.
Kuliko kunywa safari 5 ulewe, wanataka unywe lites 8 na kuendelea.
Faida ipo humo.
Wabibi wale ma hustler ndio wanakulaga hio mambopilsner moshi huwa wanakunywa wamama wajane sijui kwa nin
Ni kweli n mimi siiti bia ni food staff tuUnapoizungumzia castle lite kama bia unazikosea heshima bia kama safari. Castle lite ni castle lite, bia ni safari na safari ni bia.
Castle lite huwa tunatumia kusuzia glass tunapokunywa bia au huwa tunanawia mikono tunapokula kitimoto pale mhudumu anachelewesha kuleta maji.
hizo ni mind set tu, ni mzungu na mawazo yake mi nasema nimeacha makali na beer ngumu nakunywa lite. AmenFatilia..yule mzungu wa south Africa alisema his ya castle light ilianzishwa kwasababu ya gays...au mashoga kwa kiswahili. Fatilia utaona. Samahani lakin, but it's a fact
Nimekunyoshea mikono juu! Wewe ni wa juu.sasa mkuu mimi nilikuwa natumia hadi kunawia uso na kupiga mswaki sema ndo hivyo life change
mkuu hiyo ni kawaida sana tena sana mkuu. mimi kuna siku nilikosea nikala pesa ya shule ya mtu tena alinipa nipeleke mahali aiseeee usiombe. saizi imebidi ni badili bendera..Nimekunyoshea mikono juu! Wewe ni wa juu.
Mimi nina mpango wa kupumzika. Kila nikizipiga huwa naamka na stress sana coz huwa natumia hela nyingi wakati wowote. Ila juzi tumetumia hela za mtu kwa 100% na nimeamka na stress kama kawaida.
Napumzika.
Wanaokunywa ngumu ni wasio na hela. Wataka kulewa haraka kwa bia chache.Lite beer ndio unyama sahizi,
makali wanakunywa wenye vichwa ngumu na wanaopenda kulewa chakarii! Bia za kuamka unaumwa kama ulikuwa unavunja mawe sizitaki kabisa
Mi starehe yangu ninywe bia nyingi ndo nilewe, sasa ukinywa safari 3 ni kama umekunya Serengeti lite 9!Wanaokunywa ngumu ni wasio na hela. Wataka kulewa haraka kwa bia chache.
Sina hela ila ya kunywa bia yangu safari ninayo. Huwa nakunywa siku 2 non stop na nalala siku 1 mpaka nashindwa kufanya kazi yangu ya kubeti.Wanaokunywa ngumu ni wasio na hela. Wataka kulewa haraka kwa bia chache.
Hili chupa lake tu linaonesha ni mtu kazi, sio mchezoLite ni bia za wanaume wa dar karibu hukuView attachment 2363627