Wale wote niliokuwa nawadharau kwa kunywa beer za lite, mnisamehe

hivo vidude vilite huwa nakunywa kwenye harusi tu nikialikwa.

vinginevyo ni Budweiser ama guiness smooth tu nikitaka nisilewe upesi
 
Has it come to this? ---- watu wanaulizwa bia ipi bora? Lazima tuliamshe dude sasa.
 
Aisee Serengeti lite jamaa wametisha mno sijui wamepata wapi formula...unakunywa na unajielewa hata ukiwa high. Windhoek mnisamehe nilishawasau kabisa baada ya kupata huyu dem mpya. Ukikutana na promotion sasa buku ten unagonga sita. Ujinga ni siku nikienda viwanja vya masaki yaani buku teni kabia kamoja tu daaah
 
Wasio na hela wanapenda sana kujifariji eti bia za lite ni za kimama kumbe mtu anaamua kunywa makali ili awahi kulewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]......kuna sehemu nilisikia wanasema usichague pombe bora myumbo
Noma sana!
 
Ulichoandika nikahisi unanisema nini, hasa ulipofika kwenye shimhaa 😂
Nlikula safari 6 short za k vant 2, kabla ya kurudi lodge nkapitia Shimha mbili nkazilaza hapohapo kibandani
Babake niliamka saa 7, na majukumu yangu sikutimiza, hamna kitu kinapita kooni zaidi ya maji tena kwa mbinde.
Nlijiapisha sirudii tena ila nkaendelea kugonga kimachale saivi nataka either nihamie lite au niquit kabisaa. Eeh Mungu nisimamie.

Ulichoongea kinanifanana nini kwa 99.99%
 
haahahahaha acha mzee ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…