Cmfungua
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 381
- 1,083
Mie niko dar ila nilienda kurefresh akili mkoa wa Arusha kama week 1 nikakutana na mdada mrembo sana. Kama kawaida yang kidume nikajisemea lazma uyuu mtoto nimsajili kwenye team yang tukabadirishana number vzr tuu.
Baada ya mapumzko yang ya week moja kuisha nikarud zangu Dar Nikawa nachati na mtoto vzr tuuu ananipa ushirikiano mzur
Nikaanza kumpgia sound mtoto akaingia line Ikawa kila asbh lazma anijulie hali full kunipa maneno mazur, mchana lazma ajue niko wap nafanya nn usiku tunaongea kama nusu saa vile
Kidume nikasema nmepata mtoto mzur ikapita mwez na week 3 hv nikamwambia mtoto njoo dar mtoto akasema poa ila kiuchumi siko poa. Nikaona isiwe case mtoto nikamwambia nikutumie bei gan kusud uje mtoto akasema tuma kama elf 50 ila nikija dar nakaa siku 3 tuuu narud kazn Nkaona hapa nmepata mtoto mzur nikaenda kwa wakala nikaweka elf 60 nkamtumia Tukapanga kesho yake aanze safar mara siko poa mara leo haijakaa vzr kusafiri
Visingizio vikawa vingi ikapita siku tatu mara simu yangu hapokei
Nikaona hapa NIMEPIGWA
Nikaanza kumtumia msg za vitisho kusud arudishe hela wap
Nikamwambia ntakufanya kitu kibaya nataka hela yang lkn wap
KIUKWELI NILITAPELIWA HELA YANGU NMEUMIA SANA