Hiyo pesa tangu mwaka umeanza hujawahi tuma kwa mamako kenge kubwa 🤣.
SIKIA KWENYE KUELEKEA UCHUMI WA KATI, LAZIMA KUBANA MATUMIZI.
Huko kwenu Hakuna mama lishe, Mbeki tatu, wauza duka, famasi, hawa ndio wadau. Wape penzi ,wape upendo, watakusaidia pia ukikwama.Na hawana gharama, na bado watamu,