Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja


Hizo model unazo tizamia kununua ni kazi kuzipata sokoni kwa sasa. Ebu angalia Redmi 7, Mi A2 Lite, Mi Play. Nadhani hizi utazipata kwa bajeti ya wastani na zipo nyingi sokoni.
 
Shukran kiongozi kwa ushauri, ila kuna sehemu nimeziona zinauzwa ndo maana nikataka kupata ushauri kidogo kabla sijaingia mkenge
Hizo model unazo tizamia kununua ni kazi kuzipata sokoni kwa sasa. Ebu angalia Redmi 7, Mi A2 Lite, Mi Play. Nadhani hizi utazipata kwa bajeti ya wastani na zipo nyingi sokoni.
 
Tutamaliza mabucha kwa kununua nyama ile ile [emoji16][emoji16][emoji16]sema utamu wa nyama iwe na mafuta
 
Hizo model unazo tizamia kununua ni kazi kuzipata sokoni kwa sasa. Ebu angalia Redmi 7, Mi A2 Lite, Mi Play. Nadhani hizi utazipata kwa bajeti ya wastani na zipo nyingi sokoni.
Mkuu Kuna wadau hawana mpango na matoleo mapya!!!
Mshkaji kataka redmi note 6 pro ambazo fantancy haikuwa nazo so ikabidi nimchukulie kule Gearbest sababu hakutaka kusikia cha redmi note 7, mi a2, mi 8lite.....
Juzi kati fantancy ndo kazirudisha sokoni
 

Ni kweli Shaffin Simbamwene, lakini kwa kuangalia Redmi Note 6 Pro bado ipo hot kwahivyo kwa sasa ni nzuri kuimiliki!!

Kuna matoleo ni ya nyuma kidogo kwahivyo hata kwenye ufanisi hauwezi kulinganisha na matoleo mapya, kwani matoleo mapya yanakuwa upgraded kwenye vitu vingi mfano: SoC, Camera Sensor, Durability, na kadhalika. Kwahiyo kwenye ushauri lazima ujue unamshauri vipi mteja hata kama hiyo simu si mali yako fahamu kuna vitu ata miss.
 
Xiaomi ndo zimu zinaongoza kwa kutoa mionzi... aka radiations hivyo si salama kiafa kwa upande mwingine...
 
Samsung note 8 ndo inaongoza kwa kutoa kiasi kidogo cha mionzi... kiujumla simu za samsung, zte, lg na motorolaView attachment 1088752
Kimsingi simu zote sio salama cuz zinatoa radiations.. Ni kweli brand za xiaomi zinatoa radiations ukicompare na makampuni mengine makubwa , ila zinatoa radiations katika kiwango ambacho kimeruhusiwa na mamlaka inayodhibiti usalama wa hiv vifaa .
La sivyo usiingeikuta xiaomi sokoni na ufahamu hii brand inauzwa mpaka kwenye nnchi za wenzetu walio sensitive katika kudhibiti hii kitu ya radiations.
So usifadhaike saana juu ya hilo.

Na pia unawaza kuhusu brand kama xiaomi vp hiz brand zetu kibongo bongo kama Tecno na Itel ambao pengine hata ukitafuta mtandaoni kuhusu their radiation level huwakuti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Xiaomi ndo zimu zinaongoza kwa kutoa mionzi... aka radiations hivyo si salama kiafa kwa upande mwingine... View attachment 1088669
**** measures pia zakujilinda na hii mionzi kwa simu zote in general...
Inayofahamika saana ni kutioweka simu katika mifuko yako ya suruali au skirt wakati huitumii na kuiweka kwenye bag kama mbadala....Na pia kuiweka simu mbali kidogo na wewe pindi unapolala.

Kimsingi ni ngumu saana kukwepa radiations 100% . Ila unaweza jaribu.
 
Kwa taarifa hii sio kuwa simu za Xiaomi zinaongoza, mi a1 model ndio inaongoza.
Mwenzio katoa jibu la jumla!
Kama mi a1 basi tafsri yake ni hiyo ya Xiaomi zote Sawa na toleo fulani la Samsung kulipuka na watu kutafsiri Sm zote ni mabomu ya kujitoa mhanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…