Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu wanaso accessories za xiaomi?
 
Samsung wana mpango gani hawa...A10 cjui A50 katoa juzi tuu..saiv ni Note 10 na note 10 pro leaking
 
Una sanduku pale posta ? .... Na ulinunua kutoka kwa seller yupi ? , Pia umetumiaa web ya alibaba au gear best ? Naomba kufahamu Ndugu
Yes Nina Sanduku la posta boss.
Redmi note 7 nilichukua kwa seller Fantancy technology pale aliexpress na Redmi note 6 pro ilikuwa haipo aliexpress wiki ya manunuzi yangu so ikabidi nichukulie Gearbest
 
Wakuu kati ya XIAOMI POCOPHONE FI na SAMSUNG GALAXY A50, Mnashauri nichukue kifaa gani kati ya hivi?
 
Yes Nina Sanduku la posta boss.
Redmi note 7 nilichukua kwa seller Fantancy technology pale aliexpress na Redmi note 6 pro ilikuwa haipo aliexpress wiki ya manunuzi yangu so ikabidi nichukulie Gearbest
Next time nitajaribu kupitia hii njia yako...mara ya mwisho nilitumia DHL waliniacha na majonzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…