Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Vp hizi
tuziite bei raisi au?
mkuu ujue urahisi unakuja na unachopata,

gari ya milioni 5 ni bei rahisi.
pikipiki ya milioni 5 ni bei ghali.

simu highend inayotumia snapdragon 835 hata ikiuzwa dola 500 tunasema ni bei rahisi kutokana na unachokipata, hivyo yes hizo ni simu za bei rahisi. snapdragon 835 hio hio inatumika kwenye simu ya milioni 2.

hivyo hizo simu hapo juu ni bei rahisi, dola 400 ni bei ndogo sana kwa sd 835.

ila simu ambayo inatumia soc ambayo sio highend ikiuzwa dola 300 au 400 mfano galaxy A series tutaiita bei ghali sababu unachopata na unacholipa haviendani.
 
Ahsante kwa kunielimisha mkuu, LONG LIVE.
 
htt
Msauziya Kama hip biashara naona umeamua kuifanya kwa faida ya watanzania fungua kabisa thread Basi au niuedit upya uzi huu tupate Huduma zako maana naona Kama umekusudia kutusaidia wenzako katika kupata hizo bidhaa hivi
 
Bado itakua cheap than Iphone X
bei inayotabiriwa ni Euro 600 mpaka 700,
-hupati oled kama ya iphone x
-hupati ile 3d scanner
-Hupati A11 soc
-Hupati camera nzuri kama ya iphone X

na mambo mengine mengi, hio oppo inaweza ikawa na value mbaya ya hela kuliko hio iphone.

kama unaipenda Oppo kanunue oneplus, na siku zote simu za R za oppo ndio hizo hizo zinakuwa oneplus, zinabadilika majina tu na specs, ambapo oneplus inakuwa na specs kali zaidi.

mfano R11 ilikuwa sawa na oneplus 5, R11s ni sawa na oneplus 5T , hivyo hii R13 sitashangaa ikiwa ni oneplus 6.
 
Ipo 3gb ram 16gb rom bei 330000/= hadi kufika bongo.
www.banggood.com Kazi ni kwako mkuu...
Mkuu niko Dom pia nahitaji kuagiza huu mzigo kwa budget yangu ya kimasikini vp naweza kuwatrust hawa jamaa? Kwamba we ushawahi agiza toka kwao na mzigo ulikufikia baada ya muda gani???
 
Mkuu niko Dom pia nahitaji kuagiza huu mzigo kwa budget yangu ya kimasikini vp naweza kuwatrust hawa jamaa? Kwamba we ushawahi agiza toka kwao na mzigo ulikufikia baada ya muda gani???
Hawa jamaa waaminifu sana wanatuma one day after payment.... Nimeagiza vingi tu vimefika bila bugudha yotote.... Mzigo uchukua siku 15 hadi 25 kufika TZ.
 
Umechukulia store gani?
 
Unakuwa umeshalipa pale unapoagiza, kwa hiyo unapoenda post office kuchukua mzigo wako una sign na kupewa mzigo wako bila ya kutoa kiasi chochote cha pesa.
Hata huku pembezoni mwa nchi itfika? Nahofu ya kupoteza mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…