Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Vp hizioppo hawauzi simu affordable, tegemea hio iwe milioni 2 hivi.
oneplus na vivo (kampuni moja), ndio wanauza hizo za bei rahisi.
tuziite bei raisi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp hizioppo hawauzi simu affordable, tegemea hio iwe milioni 2 hivi.
oneplus na vivo (kampuni moja), ndio wanauza hizo za bei rahisi.
mkuu ujue urahisi unakuja na unachopata,Vp hizi![]()
![]()
tuziite bei raisi au?
Ubarikiwe mkuu,ngoja nizipitie hizo threadsPitia hizi utaweza kufanya online purchase.
Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni
DONDOO ZA NAMNA YA KUNUNUA NA KUUZA KWA NJIA YA INTANETI: Elimu ya manunuzi kwenye mtandao: Anza sasa
Ahsante kwa kunielimisha mkuu, LONG LIVE.mkuu ujue urahisi unakuja na unachopata,
gari ya milioni 5 ni bei rahisi.
pikipiki ya milioni 5 ni bei ghali.
simu highend inayotumia snapdragon 835 hata ikiuzwa dola 500 tunasema ni bei rahisi kutokana na unachokipata, hivyo yes hizo ni simu za bei rahisi. snapdragon 835 hio hio inatumika kwenye simu ya milioni 2.
hivyo hizo simu hapo juu ni bei rahisi, dola 400 ni bei ndogo sana kwa sd 835.
ila simu ambayo inatumia soc ambayo sio highend ikiuzwa dola 300 au 400 mfano galaxy A series tutaiita bei ghali sababu unachopata na unacholipa haviendani.
Bado itakua cheap than Iphone Xoppo hawauzi simu affordable, tegemea hio iwe milioni 2 hivi.
oneplus na vivo (kampuni moja), ndio wanauza hizo za bei rahisi.
Yaani umiliki mfanano wa iphone x,kwa million mbili au moja na ushee.ndio nini!!!!Bado itakua cheap than Iphone X
Sababu yenyewe sio androidYaani umiliki mfanano wa iphone x,kwa million mbili au moja na ushee.ndio nini!!!!
Si ujipasue tu uwe nayo yenyewe???
Ni kweli.Sababu yenyewe sio android
htt![]()
Msauziya Kama hip biashara naona umeamua kuifanya kwa faida ya watanzania fungua kabisa thread Basi au niuedit upya uzi huu tupate Huduma zako maana naona Kama umekusudia kutusaidia wenzako katika kupata hizo bidhaa hivi
bei inayotabiriwa ni Euro 600 mpaka 700,Bado itakua cheap than Iphone X
Xiaomi Mi Mix 2 4G Phablet 5.99 inch MIUI 8 Snapdragon 835 2.45GHz Octa Core 6GB RAM 256GB ROM Fingerprint Scanner 12.0MP Rear CameraBado itakua cheap than Iphone X
sd820 kwa dola 200 ni bonge la simu, ila le eco hio kampuni inafilisika, hivyo ununue hali ya kuwa unajua hutapata support yoyote, kuanzia spea ikiharibika, support ya software ikizingua, warranty etc.Vp ubora wa hizo simu za LeTV LeEco? Ni value for many?![]()
Mkuu niko Dom pia nahitaji kuagiza huu mzigo kwa budget yangu ya kimasikini vp naweza kuwatrust hawa jamaa? Kwamba we ushawahi agiza toka kwao na mzigo ulikufikia baada ya muda gani???
Hawa jamaa waaminifu sana wanatuma one day after payment.... Nimeagiza vingi tu vimefika bila bugudha yotote.... Mzigo uchukua siku 15 hadi 25 kufika TZ.Mkuu niko Dom pia nahitaji kuagiza huu mzigo kwa budget yangu ya kimasikini vp naweza kuwatrust hawa jamaa? Kwamba we ushawahi agiza toka kwao na mzigo ulikufikia baada ya muda gani???
Umechukulia store gani?Nimecheck hii Xiaomi Redmi Note 4X 4G Phablet MIUI 9 5.5 inch Snapdragon 625 Octa Core 2.0GHz Fingerprint Scanner 5.0MP + 13.0MP Cameras
Main Features:
Display: 5.5 inch FHD 2.5D Arc screen
CPU: Snapdragon 625 Octa Core 2.0GHz
GPU: Adreno 506
System: MIUI 9
Camera: rear camera 13.0MP with AF and flashlight + front camera 5.0MP
Bluetooth: 4.2
Navigation: GPS, A-GPS, GLONASS
Sensor: Accelerometer, Ambient Light Sensor, Gravity Sensor, Gyroscope, Infrared, Proximity Sensor, Fingerprint Sensor
SIM Card: dual SIM dual standby, Micro SIM + Nano SIM cards![]()
![]()
![]()
Bei yake ni 380000/= hadi kufika Bongo.
Nimechukua hapa Xiaomi Redmi Note 4X 4G Phablet INTERNATIONAL VERSION 3GB RAM 32GB ROM-$154.99 and Online Shopping | GearBest.com MobileUmechukulia store gani?
Ukitumia posta unawalipa sh ngap kwa item kama hiyo?Nimechukua hapa Xiaomi Redmi Note 4X 4G Phablet INTERNATIONAL VERSION 3GB RAM 32GB ROM-$154.99 and Online Shopping | GearBest.com Mobile![]()
Itakugharimu 382,625 TZS, hadi kuitia mkononi. Inatumwa na Sweden Post itachukua siku 10 hadi 25 kufika TZ.![]()
Unakuwa umeshalipa pale unapoagiza item, unapoenda post office kuchukua mzigo wako una sign na kupewa mzigo wako bila ya kutoa kiasi chochote cha pesa.Ukitumia posta unawalipa sh ngap kwa item kama hiyo?
Hata huku pembezoni mwa nchi itfika? Nahofu ya kupoteza mzigoUnakuwa umeshalipa pale unapoagiza, kwa hiyo unapoenda post office kuchukua mzigo wako una sign na kupewa mzigo wako bila ya kutoa kiasi chochote cha pesa.