Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

kwenye utunzaji wa chaji inategemea na matumizi yako, mfano: apps ulizonazo, ikiwa mtu ana apps 450, 100 zipo online, itachukua mda gani battery kukataa, video quality unazoangalia, na mengineyo, ukitaka kujua vizuri zaidi ingia youtube, utaona jinsi battery ya simu yako inavyotestiwa kitaalamu kabisa.
 
Haya nimekupata hakuna shida nitarizama au weka kwa faida ya wanajamiiforum wengine pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…