Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Natumia slp ya ndugu yangu, je nikienda kufuta mzigo (simu) wataulizia kitambulisho changu?
 
Nina Redmi s2
Silver in color,
Very clean no stratches
32gb,3gb RAM
Nimenunua last year November
Naitoa nataka kupgrade
Bei tunaelewana
0744474683
 
Natumia slp ya ndugu yangu, je nikienda kufuta mzigo (simu) wataulizia kitambulisho changu?
kama unaenda kuchukua kwenye box lake hapo ni lazima aende yeye( huyo ndugu yako) na kitambulisho cha posta.........hivi vya uraia na kula haviangaliwi sana kama unaenda kuchukua mzigo kwenye box namba.......pale inaangalia mmiriki wa box ilo ni nani so lazima aende yeye au mtu mwingine ambaye kwenye kitambulisho ipo picha yake
 
Nina Redmi s2
Silver in color,
Very clean no stratches
32gb,3gb RAM
Nimenunua last year November
Naitoa nataka kupgrade
Bei tunaelewana
0744474683
Hebu jaribu kuweka picha tuyajenge mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…