Nenda www.apkmirror.comNaomben Link ya kudownload Gcam kwenye android
View attachment 1189854nimetrack mzigo wangu nimekutana na maandishi hayo kwenye mabano hii inamaana gani?
Poa mkuuHuwa inamaanisha ikiwa mpaka tarehe hiyo bado hajapokea mzigo wako basi wasiliana nao kupata msaada zaidi.
aisee hii ofa bado ipoMi mwenyew nasubir!
Ipo mkuu bado siku nne iishe na nimepitia leo humo nika-save tu baadhi ya items, nakwazika bepari hataki kunipa posho yangu nichangamkie hii ofa mana ni 50% reduced (kama sijakosea)aisee hii ofa bado ipo
Brother Vp uliupata mzigo wako?View attachment 1189854nimetrack mzigo wangu nimekutana na maandishi hayo kwenye mabano hii inamaana gani?
Nimechek kaka mkubwa kuna bidhaa zingine zina punguzo mpk la 61%,..Ipo mkuu bado siku nne iishe na nimepitia leo humo nika-save tu baadhi ya items, nakwazika bepari hataki kunipa posho yangu nichangamkie hii ofa mana ni 50% reduced (kama sijakosea)
Sifaham range ya offer ipoje, ngoja wajuzi watujuze.Nimechek kaka mkubwa kuna bidhaa zingine zina punguzo mpk la 61%,..
Huwa inatokea kipindi gani ili ikitokea nijiset vzuri.
Redmi Note 8 series wana launch kesho nafikiri kwenye kamera zitakuwa improved zaidi. Keep watching...Wakuu ipi ni Upgrade nzuri ya Note 6 pro
1.xiaomi
2.Google pixel 2
Nina mpango wa kujipanga ni upgrade Simu iwe na Camera kali na betri iwe nzuri au standard naamini pia Processor itakuwa njema yenye vigezo hivyo.
Mr. Mobile na wengineo
Wakuu ipi ni Upgrade nzuri ya Note 6 pro
1.xiaomi
2.Google pixel 2
Nina mpango wa kujipanga ni upgrade Simu iwe na Camera kali na betri iwe nzuri au standard naamini pia Processor itakuwa njema yenye vigezo hivyo.
Mr. Mobile na wengineo
Nikweli kwamba iko overpriced na vipi front camera wanasema ni slow au zile ni review za wapiga majungu wa Youtube tu wakihindPia nilibahatika kuishika Redmi k20/Mi 9T aisee ni simu nzuri sana, nadhani ni chaguo zuri pia.
Nikweli kwamba iko overpriced na vipi front camera wanasema ni slow au zile ni review za wapiga majungu wa Youtube tu wakihind
[emoji38]
Na vipi camera yake ni kali? Na performance yake?
Mwisho kabisa inakuaje ile slow motion uki shoot inatoa saiti flani hivi ni simu special ndo zinafanya hivyo au.Ahsanteh
Kwenye offer kuna vitu vingi...Sifaham range ya offer ipoje, ngoja wajuzi watujuze.
Ila kwenye note 6 pro huwezi shoot hyp video mkuu? Au hata hiyo third part app ni ipi?Kuwa overpriced na na specs ilizonazo nadhani si kweli. Kama ukiweka brand nyingine yenye specs kama hizo sidhani kama kuna anayempiku Mi 9T kwa unafuu. Tukianzia Chipset, Camera sensor, built quality ameua simu nyingi tu!
Front camera kweli kuna malalamiko kwenye ile top up camera inachelewa kutoka... ila sio big issue kivile...
Ila kwenye main camera ni beast, sensor yake ya Sony IMX586 ni latest kabisa kwenye high-end nyingi za mwaka huu kwahiyo ni much decent.
Slow-motion video recording(960FPS) inahitaji hardware ambayo ni camera sensor na Kwenye Mi 9T camera sensor yake (Sony IMX586) ina uwezo huo bila kutumia third-party apps.
This is Real flagship Killer Boss Wangu.