Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu ipi ni Upgrade nzuri ya Note 6 pro
1.xiaomi
2.Google pixel 2

Nina mpango wa kujipanga ni upgrade Simu iwe na Camera kali na betri iwe nzuri au standard naamini pia Processor itakuwa njema yenye vigezo hivyo.
Mr. Mobile na wengineo
 
ScreenshotCapture_2019_08_23_16_16_16_660.jpg
nimetrack mzigo wangu nimekutana na maandishi hayo kwenye mabano hii inamaana gani?
 
Ipo mkuu bado siku nne iishe na nimepitia leo humo nika-save tu baadhi ya items, nakwazika bepari hataki kunipa posho yangu nichangamkie hii ofa mana ni 50% reduced (kama sijakosea)
Nimechek kaka mkubwa kuna bidhaa zingine zina punguzo mpk la 61%,..
Huwa inatokea kipindi gani ili ikitokea nijiset vzuri.
 
Wakuu ipi ni Upgrade nzuri ya Note 6 pro
1.xiaomi
2.Google pixel 2

Nina mpango wa kujipanga ni upgrade Simu iwe na Camera kali na betri iwe nzuri au standard naamini pia Processor itakuwa njema yenye vigezo hivyo.
Mr. Mobile na wengineo
Redmi Note 8 series wana launch kesho nafikiri kwenye kamera zitakuwa improved zaidi. Keep watching...
 
Wakuu ipi ni Upgrade nzuri ya Note 6 pro
1.xiaomi
2.Google pixel 2

Nina mpango wa kujipanga ni upgrade Simu iwe na Camera kali na betri iwe nzuri au standard naamini pia Processor itakuwa njema yenye vigezo hivyo.
Mr. Mobile na wengineo

Pia nilibahatika kuishika Redmi k20/Mi 9T aisee ni simu nzuri sana, nadhani ni chaguo zuri pia.
 
Pia nilibahatika kuishika Redmi k20/Mi 9T aisee ni simu nzuri sana, nadhani ni chaguo zuri pia.
Nikweli kwamba iko overpriced na vipi front camera wanasema ni slow au zile ni review za wapiga majungu wa Youtube tu wakihind
😆
Na vipi camera yake ni kali? Na performance yake?

Mwisho kabisa inakuaje ile slow motion uki shoot inatoa saiti flani hivi ni simu special ndo zinafanya hivyo au.Ahsanteh
 
Nikweli kwamba iko overpriced na vipi front camera wanasema ni slow au zile ni review za wapiga majungu wa Youtube tu wakihind
[emoji38]
Na vipi camera yake ni kali? Na performance yake?

Mwisho kabisa inakuaje ile slow motion uki shoot inatoa saiti flani hivi ni simu special ndo zinafanya hivyo au.Ahsanteh

Kuwa overpriced na specs ilizonazo nadhani si kweli. Kama ukiweka brand nyingine yenye specs kama hizo sidhani kama kuna anayempiku Mi 9T kwa unafuu. Tukianzia Chipset, Camera sensor, built quality ameua simu nyingi tu!

Front camera kweli kuna malalamiko kwenye ile top up camera inachelewa kutoka... ila sio big issue kivile...
Ila kwenye main camera ni beast, sensor yake ya Sony IMX586 ni latest kabisa kwenye high-end nyingi za mwaka huu kwahiyo ni much decent.

Slow-motion video recording(960FPS) inahitaji hardware ambayo ni camera sensor na Kwenye Mi 9T camera sensor yake (Sony IMX586) ina uwezo huo bila kutumia third-party apps.
This is Real flagship Killer Boss Wangu.
 
Xiaomi Redmi 7
ROM: 64GB
RAM: 3 GB
Battery: 4000mAh
Condition: used 1 month
Price: 380000/-
Contact: 0763443210
IMG_20190813_173018.jpg
IMG_20190813_172659.jpg
IMG_20190813_172831.jpg
 
Attachments

  • IMG_20190813_172917.jpg
    IMG_20190813_172917.jpg
    257.3 KB · Views: 32
Sifaham range ya offer ipoje, ngoja wajuzi watujuze.
Kwenye offer kuna vitu vingi...
- Kwanza, bidhaa yenyewe inaweza kushuka bei kwa asilimia fulani.

-Pili, kwenye kila store wanatoa offer ya coupon ambazo ukinunua bidhaa iliyofikia kiwango fulani cha pesa unaweza kupata punguzo.

-Tatu, kuna AliExpress coupon, hizi unaweza uka add Kwenye bidhaa yeyote ile ukapata discount ilimradi tu iwe imefika kiwango cha thamani waliyoiweka.

-Nne, kuna promo code, ni code ambazo ukiziweka wakati wa ku check out unapata punguzo la asilimia fulani kwenye kila bidhaa iliyofikia kiwango fulani cha pesa.

-Jinsi ya kupata coupon; unaweza kupata kwa kubadilishana na coins, kupata kutoka kwa seller au kama rewad kwa kushiriki michezo mbalimbali inayosinamiwa na AliExpress.

-Kwa maana hiyo.. uki add hivyo vitu vyote wakati wa ku check out ndio unaweza kupata punguzo la hadi asilimia hamsini.

NB: Vyote vinaweza visitumike mara moja. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Kuwa overpriced na na specs ilizonazo nadhani si kweli. Kama ukiweka brand nyingine yenye specs kama hizo sidhani kama kuna anayempiku Mi 9T kwa unafuu. Tukianzia Chipset, Camera sensor, built quality ameua simu nyingi tu!

Front camera kweli kuna malalamiko kwenye ile top up camera inachelewa kutoka... ila sio big issue kivile...
Ila kwenye main camera ni beast, sensor yake ya Sony IMX586 ni latest kabisa kwenye high-end nyingi za mwaka huu kwahiyo ni much decent.

Slow-motion video recording(960FPS) inahitaji hardware ambayo ni camera sensor na Kwenye Mi 9T camera sensor yake (Sony IMX586) ina uwezo huo bila kutumia third-party apps.
This is Real flagship Killer Boss Wangu.
Ila kwenye note 6 pro huwezi shoot hyp video mkuu? Au hata hiyo third part app ni ipi?
 
Back
Top Bottom