Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu kuna mtu yupo hapa jiji Mwanza ashaagiza mzigo huko Aliexpress na akaupata? Nataka usaidizi kidogo hapa maana kuna vitu vingi nataka agiza ila imani na uhakika/usalama wa parcels zangu ndio mtihani...
 
Jisajili na Fanya manunuzi fata hatua stahiki percel zitakufikia nilikua muoga sana katika hilo
 
Wakuu kuna mtu yupo hapa jiji Mwanza ashaagiza mzigo huko Aliexpress na akaupata? Nataka usaidizi kidogo hapa maana kuna vitu vingi nataka agiza ila imani na uhakika/usalama wa parcels zangu ndio mtihani...
Anza na vitu vidogo vidogo kwanza ,hata Earphone za buku 3 ,zikifika ndio uanze kuagiza vitu vingi
 
1.TZS 346,987.01 | Global Version Xiaomi Redmi Note 7 3GB 32GB Smartphone Snapdragon S660 Octa Core 48MP Dual Camera 4000mAh 6.3" 19.5:9 FullScreen

2.TZS 669,222.06 9%OFF | Global Version Xiaomi MI 9T Redmi K20 6GB 128GB Smartphone Snapdragon 730 Octa Core 4000mAh Pop-up Front Camera 6.39" 48MP NFC

3.TZS 620,499.55 10%OFF | Global Version Xiaomi MI 9T 6GB 64GB Redmi K20 Smartphone 6.39" Snapdragon 730 Octa Core 4000mAh Pop-up Front Camera 48MP NFC

4.TZS 462,588.06 68%OFF | Original Unlocked Google Pixel 2 5.0'' inch Octa Core Single sim 4G LTE Android cellphone 4GB RAM 64GB 128GB ROM smartphone

Option Nzuri hapo ni Ipi Mkuu

Upande wa 1.Camera 2.Battery 3.Nguvu 4.Waterproof(Ajali ndogondogo za maji) japp sio ishu sana.
 
Wadau...
Nmejaribu possibilities zote za kuflash GLOBAL ROM kwenye Redmi 7 yenye Chinese stable ROM, 4GB ROM 64GB RAM.

Kwa yeyote anaeweza kunisaidia hii kitu ama kun-direct wap tapata msaada ntashukuru sana.

Kwa sasa nmeinstall App store but izi App za kichina zinantia ukakasi.

Msaada!!
 
Kuweka global sidhani. Tafuta custom rom kwanza alafu fabya mazoezi ya kuunlock bootloader kama inatakiwa pale utakapotaka kuinstall custom recovery.
 
Ok
Hivi kunawezakua na watalaam wanafanya kazi hizi kwa huku Arusha??
Kuweka global sidhani. Tafuta custom rom kwanza alafu fabya mazoezi ya kuunlock bootloader kama inatakiwa pale utakapotaka kuinstall custom recovery.
 
Muweke na redmi note 8 pro kitu cha water proof na high capacity battery
 
Vipi hii CHIPSET yake ya MEDIATEK inanipa mashaka kidogo.
Redmi note 8 Ni Snapdragon 665
Na redmi note 8 pro ndizo zinatumia MTK but siyo hizi cheap za kina Tecno na infinix.
Ni helio G90T latest and powerful mtk chipset
Hupati kwenye tecno yoyote.
 
Vipi hii CHIPSET yake ya MEDIATEK inanipa mashaka kidogo.
The same watu wengi humu wakisikia mtk inakuja taswira ya infinix, itel na mjomba wao Tecno japo kuwa xiaomi na top brand wengineo wanatumia MTK zilizo kwenda shule ambazo ni bora kuliko baadhi ya SD
 
Redmi note 8 Ni Snapdragon 665
Na redmi note 8 pro ndizo zinatumia MTK but siyo hizi cheap za kina Tecno na infinix.
Ni helio G90T latest and powerful mtk chipset
Hupati kwenye tecno yoyote.
Sahihi ila walio wengi wameshaaminishwa na kujenga taswira kwamba MTK ni chipset za ovyo.
 
Niko mwanza nataka niagize note7 via aliexpress ila nawaza makodi mara mzigo ushikiliwe hata sijui pa kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…