Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Kupitia hii huduma www.bit.ly/101buy4me mimi nachukua dhamana ya kuhakikisha mzigo unakufikia kwa wakatiNiko mwanza nataka niagize note7 via aliexpress ila nawaza makodi mara mzigo ushikiliwe hata sijui pa kuanzia
- Gharama utakazolipia
1. Manunuzi + Kufikisha nchini = Hiki kiasi utalipa wakati unaweka order, na hutegemea na RAM/ ROM ya simu husika
2. Gharama za EMS - Utalipia TZS. 20,000 kama gharama za EMS baada ya mzigo kufika nchini. Na mzigo unaupokea ndani ya saa 24 hadi 48 tangu mzigo utumwe kwa EMS.
Mawasiliano zaidi: Angalia hapa www.bit.ly/101buy4me
Karibu